Nani kuvunja rekodi ya Mrema na Gambo Arusha?

Nani kuvunja rekodi ya Mrema na Gambo Arusha?

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Felix Mrema na Mrisho Gambo ni wabunge walioacha alama kubwa sana "Arusha mjini" ambazo haziwezi kufutika kirahisi vichwani mwao (hasa kwa watumishi wa umma)

Nina Imani kubwa sana na ajaye anaweza kuivunja rekodi hiyo (Kama akiamua).

(1) Felix Mrema - alisaidia sana kutatua changamoto mbalimbali kipindi kigumu cha ujima (manual).

(2) Mrisho Gambo - kipindi cha usasa (udijitali)

Huyu ajaye ana kazi kubwa ya kuvunja rekodi hizi 2 zilizowekwa na miamba hii "Kama rejea"

"Kura ya kula" bado zinaendelea kuhesabiwa .................😂😁🤣 !!!
 
Mbona hizo rekodi zao huziweki ili tuzijue
 
Kuna jamaa Arusha alikua anaitwa Mageda Mlongo alikua RC huyu jamaa alitesa sana wapinzani wa kisiasa sijui yuko wapi Dunia tunapita
 
Back
Top Bottom