Mwenyekitiwa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewashambuliawanachama wa chama hicho waliokuwa na ndoto za kuona mkutano mkuu waoukimalizika kwa mpasuko, akisema kuwa...
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavery Lwaitama, alisema kuwa hakuna safu mpya ndani ya CCM kwani Kinana ni yule yule aliyekuwa akisimamia chaguzi zote zilizowaleta...
Kwa mtazamo wangu wa kuona na kusikiliza! Nimeona kabisa ya kwamba chama cha mapinduzi imemtema huyu member wao muhimu sana ndani ya chama cha chao cha mafisadi!
Namkaribisha huyu Ndg EL ndani...
THURSDAY, NOVEMBER 15, 2012
MMOJA AUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KUFUATIA VURUGU ZA WAMACHINGA NA ASKARI WA JIJI MWANZA. HALI TETE, MADUKA YAFUNGWA HADI SASA
MOTO: MPASUKO MWANZA...
Tanzania inaongoza barani Afrika kwa kupokea misaada ikiwamo mikopo mingi kutoka kwa wafadhili wa nje na taasisi za fedha za kimataifa kwa lengo la kuleta maendeleo bila kusahau kuwakwamua...
Sasa kumebalance Tanzania,miaka zaidi ya saba iliyopita CHADEMA chini ya mwenyekiti wake kamanda wa ANGA FAM ilienezwa slogan ya kutafuta ushindi na ujasiri wa kulinda kura usiku kucha mwanzo...
Jana Bunge nchini Somalia limeidhinisha baraza jipya la mawaziri kumi waliloteuliwa na waziri mkuu Abdi Farah Shirdon. Wanawake wawili ni miongoni mwa walioteuliwa.Kuidhinishwa kwa baraza hilo...
Kwa wale mliotaka kujua kama Lowassa akiwa Rais atakuja kukemea rushwa, Mzee huyu amewasikieni, hapa ni maelezo yake kuhusu Rushwa kwenye chaguzi za CCM kama alivyonukuliwa leo Jumanne na Gazeti...
Kwa mara nyingine tena, mheshimiwa Rais wetu ambaye anaweza kuingia kwenye vitabu vya jines kwa rekodi yake ya kushindwa kuwachukulia hatua wahalifu ambao anadai kuwajua wakati anayo mamlaka ya...
Nipo tayari kwa mabadiliko. Tayari kuondoa dhuluma,dhiki,ukandamizwaji wa haki,uibaji wa kura,ufisadi,uuaji wa polisi,matusi na kejeli kwa watanzania. Hapa CCM uwepo wangu unanisuta.Sasa najuta...
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, kuwataka makada wa chama hicho kujibu mapigo ya wapinzani,akidai wanafanya kazi ya kueneza uongo na kupotosha wananchi, CHADEMA...
Kumbe chama kimemwambia anatumia pesa nyingi bila mafanikio wakati wanachama wao wanazidi kuhama.
Na mukama kasema amenenepa sana kwa muda mfupi inaonekana haumizwi na wanachama kuhamia CHADEMA...
Kundi la Sitta na Mwakyembe nilidhani lingegombea NEC lakini wapo kimya. Hili kundi naona kama limekufa na sidhani kama wana nia ya kugombea urais maana hawatakuwa na ushawishi wowote kwenye...
Mwandishi wa Mwananchi, Hanang | Novemba 14, 2012
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amependekeza kuvunjwa kwa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwani badala yake...
Kama kiongozi na rais wa nchi chama chake kimeingia katika mpasuko mpya kabisa. Mpasuko ambao kinyume na chereko chereko za Mkutano mkuu utathibitika siku si nyingi. Kama Mkutano Mkuu wa CCM wa...
Kama kuna msemo sikio la kufa basi ni kampuni ya bico iliyo chini ya chuo kikuu cha dar-es-salaam. Kampuni hii kupitia mtaalamu wake dr chungu ndiyo iliyosimamia mradi wa mlimani city na...
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea...
Zanzibar ni yetu sote Mansoor
November 14, 2012
Na Mansour Yussuf Himid
Leo nami nimeamua kutoa mawazo yangu kupitia kwenye ukumbi huu. Kwa wale wasionifahamu mimi ni Mansoor Yussuf Himid...
Ni wazi kuwa rais Kikwete ambaye ni mweyekiti wa CCM taifa ametoa ushahidi kwa hiari yake kuthibitisha mashitaka kwenye mahakama ya ICC.
Kama mtakumbuka vema kituo cha sheria na haki za binadamu...
Nimesikiliza na kufuatilia mkutano mkuu wa ccm pale Dodoma kwa umakini sana,
Hotuba zote zilizosomwa na wanaccm hazikuwa na mafaa kwa chama wala wanachama wake,
Hotuba ya Mwenyekiti (JK)...