Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ameshindwa kupenya katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara, mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini kimemsimamisha Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Odero Charles Odero kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma...
Mtiania wa Udiwani kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Maganga Maige akiwaomba kura wajumbe wa mkutano mkuu Kata ya Zingiziwa. Watia nia wa ubunge na udiwani leo wa Chama...
Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na...
Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa.
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya...
Wakuu
Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai...
Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu...
Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Usafirishaji wa Mizigo kwa SGR Kwala, leo Julai 31, 2025, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema "Niliona Watu walipoona Ridhiwani kapita bila kupingwa wakasema...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
ENOCK KOOLA AUNGWA MKONO ASILIMIA 90 YA WAJUMBE WOTE KATIKA JIMBO LA VUNJO – MWELEKEO WA USHINDI KATIKA KURA ZA MAONI ZA CCM
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Katika mchakato unaoendelea wa kura za...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka makada waliokatwa katika mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kuendelea kuwa wanachama watiifu na raia...
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama...
Tunapoelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kuna hoja nzito ya kutafakari kuhusu hali ya elimu kwa mpiga kura, mijadala ya uraia, na nafasi ya taasisi mbalimbali katika kusaidia wananchi...
Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.
Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
Wakuu JF amani iwe nanyi.
Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana.
Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT-...
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao.
Mzee Makamba...
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??