‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️
Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee)...
Wakati watanzania wengi wanapigania HAKI zao kwenye mambo mbali mbali yanayowahusu, CCM inatumia Sheria kuwatawala.
Sheria ndiyo hujenga uhalali wa mambo kwenye jamii hata kama Sheria hiyo...
Chukulia tu, kesi inayomkabili Lissu ingalimkabili wakili wa Serekali, angalikumbuka angalau kifungu kimoja cha sheria kichwani? Nakusudia kwamba juu ya ubobezi wa sheria alionao, angalijiamini...
Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking...
Katibu mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Africa mashariki Dr Calorine Karugu amesema Kenya imeishtaki Tanzania kwenye sekretarieti ya Jumuiya ya Africa mashariki kwa kukiuka mikataba ya ushirikiano...
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo...
Wagombea wote wakiwa bungeni maslahi ya chama hutangulia kwa sababu ndicho chenye Ubunge wake kwa ule uanachama wake
Huku kwa Wananchi ni kupeana Mauwongo tu
Jumaa Mubarak 😄
CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision?
Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6)...
Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele...
NILIIONA HII HALI
Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie
Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe
Sasa mjiandae na...
Kimsingi utamaduni hujengwa na Rejea mbalimbali za mila na desturi
2025 ni Uchaguzi wa kwanza uliotanguliwa na kifo cha Rais na baaae kurithiwa na makamu wake, hii haijawahi kutokea tangu...
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhwani Kikwete amewataka wakuu wa taasisi kuhakikisha wanatengeneza mazingira rafiki kwa wale wanaowaongoza ili...
Ni mwoga kusema ukweli unao uma na kuchoma kwa walio madarakani.......anajaribu kuwachma na anapuliza kwa mbali.
Nilitegemea aseme UKWELI kama Lisu anavyosema hii ni black and this is white and...
UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI
Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza...
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92 kwa kiwango cha lami mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 153.
Akiongea na...
Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha...
Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana...
Taifa hili lingekuwa na katiba bora ambayo imelenga kulinda maslahi ya taifa hili haya mnaolalamikia yasingekuwepo
Mara sasa hichi ni chama cha kisulutani, mara kuna rushwa ya ngono oh mara...