Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waandishi wetu KATIBU mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa amesema chama hicho kinasubiri kupokea taarifa ya mgogoro unaofukuta ndani ya chama hicho mkoani Katavi na kusababisha Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kwa upande wangu nimemchagua ndugu JJ MNYIKA kuwa mwanasiasa wangu wa mwaka 2012 kwa kuwa ameonyesha ukomavu wake mkubwa kwenye siasa na kuwafikia wananchi wake kwa karibu na...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Makamanda wa Arusha tupatieni Update ya kinachoendelea Mapokezi ya kamanda Lema kama vp tupia na matukio au sio! Viva CDM.......:israel:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maandamano ya raia kupinga mauaji ya raia. Wanaelekea ofisi za rpc source: Radio one
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Ndugu zangu, Watanzania tuna usemi usemao "Mungu hamfichi mnafiki". Usemi huu umethibitika kupitia malumbano ambayo yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa hapa JF. Kwa muono wa haraka haraka...
28 Reactions
147 Replies
13K Views
Wana Bodi. Rais wetu amekuwa na ratiba nyepesi sana. Hebu tuangalie jinsi Rais wetu anavyotumia muda wake kila siku kama kiongozi wa Dola,Serikali, Mwenyekiti wa CCM, baba wa familia labda pengine...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
  • Poll Poll
Hapa Tanzania kwasasa kuna vituo vingi vya television vya binafsi na serikali lakini kutokana na kukosekana maadili ya uandishi vingine vimejeuka genge la ubaguzi kwa sababu wanazozijua ikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kilichojiri kwenye kipindi cha tuongee star tv ambacho kilimwalika mh.Lukuvi waziri wa sera na uratibu kwa shughuli za bunge kilinifanya nishindwe kujua kama tatizo la viongozi wetu ni ombwe la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ingawapendekezo la kutaka katiba iseme wazi kuwa wabunge watakaofanya madudu wapigwe bakorailipotolewa haikushabikiwa, ina ukweli kama si suto kwa wakubwa zetu. Jewanajamvi ingekuwa inawezekana...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Jamani wana jf katika katiba mpya mnashauri nni kuhusiana na madaraka ya Rais!!!!!????
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nadhani Mungu yupo nasi. Kwa muda kiasi CCM wameiweka CHADEMA kwenye migogoro ya kipuuzi kwa kuwatumia vijana kadhaa waliowanunua na hatimaye kujaribu kuisumbua CHADEMA kwa migogoro ya...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
CCM kama chama kikongwe hakitarudisha imani ya wananchi ati kwa kuendesha propaganda zisizo na mashiko dhidi ya CHADEMA. Dawa ni kuacha yale wanayoyachukia wananchi (ufisadi, mfumuko wa bei...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Salaam wana JF, Ndugu zangu naomba kuuliza swali moja hapa jamvini, "Hivi hivi vyama vingine kama vile NCCR, CUF,TLP na vingine hawana mabaraza ya vijana?Maana tumeisikia BAVICHA ya Chadema na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Miezi michache iliyopita nilisikia taarifa zisizo rasmi kuwa Justice Rwakibalira alikimbwizwa India kwa matibabu ya ugonjwa wa ajabu uliompata. Baada ya hapo sijapata habari zake tena. Binafsi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Fri, Dec 21st, 2012 Tanzania | Norwegian energy firm Statoil found more gas offshore Tanzania, its third discovery in the country this year, putting it closer to having the resource needed to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda mfupi baada ya kutangazwa na Mahakama ya Rufaa ya Dar es salaam,nakumrudisha Godbless Lema,kuwa mbunge halali wa jimbo hilo. Hivi sasa hali ya jiji la Arusha baadhi ya maeneo ni shamrashamra...
27 Reactions
174 Replies
14K Views
Wakuu, nimejaribu kufuatilia viongozi wa CCM na wafuasi wa CCM kwenye mitandao. Lakini sijaona hata mmoja akionyesha kufurahia Ushindi wa Kesi dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini Ndugu...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wimbi la kushindwa kwa CCM katika kesi kadha za uchaguzi ulitokana na kauli ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba pale baada tu ya uchaguzi wa 2010 alipotangaza kwamba wagombea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ORODHA YA UFISADI NA UZEMBE TANESCO AWAMU YA KWANZA NA MWITO WA KUTOA MAONI KUHUSU KUSUDIO LA KUPANDISHA BEI YA UMEME KWA MARA NYINGINE Shirika la Umeme (TANESCO) linakabiliwa na...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
je wadau baada ya Lema kushinda kesi na kurudishwa kuwa mbunge wa Jiji la Arusha, je atahitajika kuapa tena mara ya pili, au kiapo chake cha awali kitaendelea?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…