Dr. Lwaitama katika SIBUKA TV

Dr. Lwaitama katika SIBUKA TV

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Amezungumzia swala la kadi ya Dr. Slaa ya CCM.

Anasema hiyo ni hoja ya kipuuzi. Ansema kwanini CCM hawajamfukuza
 
Anasema waliotakiwa kulalamika ni CHADEMA. CCM wao hawakutakiwa kulalamika bali kufanya sherehe.
 
Anasema hakuna umuhimu sana wa vyama kuungana. Amekaa Uingereza kama miaka 10 vyama kule haviungani wala Marekani pia
 
Anasema acha vyama viweko wananchi wataangalia ni kipi kilicho makini zaidi
 
Huyu mzee naona anaipenda kweli CHADEMA
 
Anasema wewe kama mtanzania tumia busara yako kuangalia ni Chama gani kinachofaa. Na anasema kwa sasa Chama hicho ni CHADEMA
 
Tupime na kuangalia ni Chama kipi kilichobora kuliko vingine.
 
Ametoa mifano ya kukubalika kwa CHADEMA, mfano Igunga. Hapo nyuma CHADEMA haikuwa na mgombea IGUNGA Lakini juzi hapa hali imebadilika kabisa.

Pia anasema kwa mujibu wa gazeti moja ni kwamba Dr Slaa alishinda. Na hilo halijakanushwa na vyombo husika tangu gazeti hilo liripoti
 
Pia alisema hakuna mtu anayewapa CCM shida kama Dr. Slaa ndiyo maana wanaangaika kumpiga vita kwa mambo ya kipuuzi kama hilo la kadi ya CCM ambalo ni upuuzi tuu!
 
Sasa anazungumizia hoja ya kujivua gamba
 
"Kama ccm imewaogopa wale walioambiwa wajivue gamba basi chenyewe ndo gamba, kwa hiyo kiondolewe"
 
Anasema hakuna cha kusema santuri ya RICHMOND ni ya zamani. La ni ya sasa wananchi wanataka majibu
 
Back
Top Bottom