Lema: Nilikuwa Honey Moon sasa narejea Kazini

Pilipili usiyoila inakuwasha nini??
nimetaka kusahau kuuliza swali, hivi Zitto ha hapa hakuwepo tena?
 
chadema sasa ushindi huu uwe kama chachu ya kumaliza chokochoko za akina shonza, saa nane machange na wengine! Oneni Watanzania walivopokea ushindi huu kwa hisia kubwa oneni Watanzania wanavotuunga mkono, Tafadhalini msiendekeze malumbano mkazima hii nyota inayong'aa hivi viongozi kutaneni kwenye vikao rasmi malizeni matatizo ndani ya chama twendeni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja! Binafsi naumia sana na migogoro hii isiyo ya lazima ndani ya chama! Mungu ibariki chadema mungu ibariki Tanganyika!
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu mwenye macho ameona leo huu umoja. Viva CDM.
 
Kamanda sasa nikaz mtindo mmoja mpaka magamba wakome uanze na hoja binafsi kuhusu utoaji haki kwa watanzania hasa kwenye mahakama
 
Chokochoko haziwezimkuisha CDM wakati Chama cha Magamba kinakodoa macho kwa wivu ni kwa nini CDM kinakuwa maarufu, huku kikitamani kife hata leo ili waendelee kufisadi rasilimali za nchi hii.
Kinachotakiwa ni CDM kushughulikia mamluki na kubaki na makamanda wa kweli na dhati ktk mioyo yao.
Hakuna ukombozi unaokuja kwenye sahani ya shaba. Kujitoa mhanga ni lazima kwa faida ya wengi watakaobaki. Hivyo CDM lazima iwe na watu ambao wako tayari kukifia chama na si kuangalia masilahi ya leo.
 
Presha inapanda inashuka!NAPE Nauye,presha inapanda inashuka!naye Chogo Chemba,presha inapanda inashuka!!!
 
Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema amesema Honey Moon yake imeisha rasmi leo na sasa anarudi kutekeleza majukumu yake ya kibunge baada ya miezi kadhaa ya kujenga Chama kwa njia ya Operesheni M4C
Lema arudishiwa Ubunge na Mahakama ya Rufaa - YouTube

578827_398232366917944_1652378751_n.jpg

FURAHA ARUSHA...

3893_398231380251376_976141852_n.jpg

Machozi ya FURAHA ARUSHA...

548635_398156096925571_415504839_n.jpg
 
This is serious..kama watu wanafikia hatua ya kutoa machozi basi siyo kitu kidogo...namwomba sana ZITTO NA PM7 kwa ujumla waachane kabisa na rafu zao dhidi ya CDM ..WATU WANAYO MATARAJIO MAKUBWA SANA NA HIKI CHAMA NA WALAHI HATA KAMA ZITTO NA KUNDI LAKE WATAFANIKIWA KUKISAMBARATISHA HIKI CHAMA WAELEWE MUNGU ATAWAADHIBU NA HAWATAFAIDI KAMA WAO WANAVYOFIKIRIA..MACHOZI YA WATU NLIOWAONA HAPO HAYAWEZI KWENDA BURE.ZITTO NA WENZAKO KAMA NYIE NDO MNAFIKRI MMEKIJENGA CHAMA NA MNASITAHILI MNACHOKITAFUTA YOU ARE WRONG...KUNA WATU WAMECHINJWA, WAKITETEA CHAMA HIKI, KUNA WALIOJERUHIWA, KUNA WALIO PATA ULEMAVU, KUNA WATU WAMECHOMWA MIKUKI, WAMEPIGWA MISHALE, WAMEKATWA MAPANGA,HAKIKA DAMU YA WATU HAWA HAIWEZI KUPOTEA BURE, ITALIA JUU YENU NA HAMTABAKI SALAMA HAKI YA MUNGU
 
Naogopa, hawa watu wanao lia wanategemea nini kutokana na matokeo haya ya rufaa??????
 
Mimi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na cdm kuungana katika kipindi hiki kigumu kuelekea 2015, tuwasupport viongozi wetu ili wafanye kazi kwa moyo na kwa bidii kwa lengo moja la kushika bunge na ikiwezekana dola. Wale wote wanaoonekana kukivuruga chama wafukuzwe mara moja lakini kwa uangalifu mkubwa.:israel:
 
This is serious..kama watu wanafikia hatua ya kutoa machozi basi siyo kitu kidogo...namwomba sana ZITTO NA PM7 kwa ujumla waachane kabisa na rafu zao dhidi ya CDM ..WATU WANAYO MATARAJIO MAKUBWA SANA NA HIKI CHAMA NA WALAHI HATA KAMA ZITTO NA KUNDI LAKE WATAFANIKIWA KUKISAMBARATISHA HIKI CHAMA WAELEWE MUNGU ATAWAADHIBU NA HAWATAFAIDI KAMA WAO WANAVYOFIKIRIA..MACHOZI YA WATU NLIOWAONA HAPO HAYAWEZI KWENDA BURE.ZITTO NA WENZAKO KAMA NYIE NDO MNAFIKRI MMEKIJENGA CHAMA NA MNASITAHILI MNACHOKITAFUTA YOU ARE WRONG...KUNA WATU WAMECHINJWA, WAKITETEA CHAMA HIKI, KUNA WALIOJERUHIWA, KUNA WALIO PATA ULEMAVU, KUNA WATU WAMECHOMWA MIKUKI, WAMEPIGWA MISHALE, WAMEKATWA MAPANGA,HAKIKA DAMU YA WATU HAWA HAIWEZI KUPOTEA BURE, ITALIA JUU YENU NA HAMTABAKI SALAMA HAKI YA MUNGU

:target:MKUU KIFUNGU KIMEAFIKIWA!
 
Nilikuwa nasikia kuwa Arusha ni moto mwingine, nimejionea. Wanampenda Lema, wana msimamo, kifupi wako serious kwenye siasa
 
Watu wanatoa machozi ya furaha yaliyochanganyika na ya huzuni kwa udhalimu mkubwa unaofanywa na magamba kupitia vyombo vya dola ili kuikandamiza CHADEMA na Viongozi wake kwa kila namna ili kipotee katika anga za siasa nchini. Siku ya kuikomboa Tanganyika kwa uhuru wa kweli haiko mbali.

Back
Top Bottom