Nenda Bagamoyo kashuhudie magunia ya mkaa yanayopakiwa kwenye majahazi kwenda Unguja kila siku ya Mungu ili kuilisha jamii ya watu wenye chuki ambao hawako tayari kukuonesha hata njia endapo tu...
JUMAMOSI NILIKUA MTWARA KWENYE KONGAMANO LA WANANCHI WA KUSINI NA SAKATA ZIMA LA GESI;
Kilichonifurahisha kwenye ule mkutano wa wazi ni kutoona bendera ya chama chochote, na kauli mbiu yao...
Mtu wanaccm waliyedai ni murobaini wa matatizo yao ndani ya chama imedhihirika kuwa ni garasa pengine kutokana na uzee, mazingira au kukosa kumbukumbu baada ya kuwa nje ya system zaidi ya miaka...
Kamanda wa CHADEMA Burton Gwakisa,ambaye alipokea onyo kali kwa ushiriki wake kama Masalia ndani ya BAVICHA na CHADEMA kwa ujumla amesema kuwa sasa anajielekeza katika ujenzi wa chama hasa katika...
nape ni kijana focused na integrity yake iko juu lakini namuonea huruma anapojaribu kutetea chama chake cha ccm juu ya tuhuma mbalimbali zinazotolewa kwa chama chake. Namuonea huruma kwa sasa...
Taarifa za leo Waziri mchapakazi katika 3 bora za CCM Dr. Harison Mwakyembe, Amewafuta kazi vigogo 5 wa mamlaka ya Bandari Tanzania kwa ubadhirifu ikiwa ni pamoja na kujibebesha mamlaka kinyume na...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemkabidhi Prof. Abdallah Safari nyaraka zote za kesi ya Igunga kwa niaba ya aliyekuwa Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi ule wa Igunga Bw. Joseph...
Tafadhali mods naomba isiunganishwe na zile zinazohusiana na hii ili watu watoe maoni yao.
Akihojiwa ktk kipindi cha hotmix mwanachama wa chadema aliyefukuzwa uanachama wa Bavicha Mtera Mwampamba...
Wana JF. Ninaangalia kuapishwa Rais wa Marekani najaribu kulinganisha na kuapishwa kwa Raisi wetu dhaifu 2010.
Kwanza najaribu kuangalia jinsi watu walivyojitokeza kwa wingi bila kulazimishwa kuja...
tumekuona eat tv lakini hujaongelaa lolote zaidi ya kulialia ww unajivunia kura elfu thelasini na mbili alafu unajifananisha mbowe na zito,nakushauri jenga hoja sio kukundia chadema,mtangazaji...
Chadema imepiga hatua nzuri na imeonesha mwanga kwa wapenda mabadiliko, pongezi kwa viongozi na wanachama, jambo moja ambalo linanitia shaka na pengine wengi wetu mtakubaliana na mimi ni uwezo wa...
Habari za kazi wanajamvi!
Uongo wa wazi na upotoshaji unaofanywa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya jk umefika kiasi ninakereka hata kuangalia taarifa za habari ama kusoma magazeti. Hivi...
Serikali ya CCM na chama chake vimekuwa na tabia ya kushutumu wanasiasa, wanaharakati na makundi mengine ya kijamii kuwa yanaharibu amani na uaribifu wa utulivu wa nchi kwa kuhamasisha wananchi...
kwanza kabisa niwasalimu,
Lengo langu la kuleta uzi huu ni kumpongeza ndugu Edward Lowassa mbunge wa Monduli kwa haya yafuatayo,
Kwanza kabisa kuwasomesha baadhi ya watanzania wasio na...
Kuna watu walikuja humu kumtukana mheshimiwa rais kuwa kila kukicha yuko Iringa, Mbeya na kwingieko. Lakini ukweli ni kuwa Serikali yake kupitia idara inafanya wonders huko Kisarawe.
Kwenye blog...
Nawasilisha taarifa ya Mh. Kisandu:
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari kumekuwepo na wimbi kubwa sasa la viongozi wengi hapa nchini nikiwemo na mimi kuutaka Urais wa mwaka 2015...
Habari wa wakuu!
Katibu mkuu wa Chadema Dr,W.P. Slaa ameitoa kauli hiyo katika kongamano la wanafunzi lilifanyanyika leo jijini Dar es salaam.
Ametoa wito kwa vijana wa chadema kuendelea...
21/01/2013
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mhe. Edward Lowassa na Mbunge wa sasa wa Temeke, Abbas Mtemvu, jana Jumapili jioni walikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kuuaga mwili wa...
Nimemsikiliza naibu waziri wa nishati na madini akiongea akiwa Arusha kuhusu mradi wa bomba la gesi.Nimebaini kuwa ni hadaa kwa wanakusini kuhusiana na wao kufaidika na gesi hiyo.
Anasema kuwa...
Ndugu wa jf
Kwa mtazamo wangu ingetokea leo uchaguzi wa Wabunge unafanyika Mbeya, Salama ingekuwa kwa Mlugo, Silinde, kidogo na Mwakyembe kwa huruma.
Bila shaka Mwandosya asingegombea, lakn...