Lowassa nakupongeza kwa haya

Lowassa nakupongeza kwa haya

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
kwanza kabisa niwasalimu,

Lengo langu la kuleta uzi huu ni kumpongeza ndugu Edward Lowassa mbunge wa Monduli kwa haya yafuatayo,

Kwanza kabisa kuwasomesha baadhi ya watanzania wasio na uwezo,ndugu Lowassa amejitahidi sana kusomesha wanafunzi wengi sana wasiojiweza katika shule mbalimbali ikiwemo Manyara sec,Oltinga secondar,Makuyuni,Masai Girl na kujenga shule hiyo kwa kusaidia jamii ya kimasai kupata elimu.

Kasaidia si wamasai tu bali wananchi wa makabila mengne kwa kuwasomesha vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi na kufanya waweze kutimiza malengo yao.

Pili Lowassa amejitaidi sana kwa kipindi kifupi alichokua waziri mkuu kuboresha huduma mbalimbali kama barabara,maji,elimu na afya ukijaribu kuangalia kwa kipindi alichokua waziri mkuu hakukua na migomo ya hovyo kama sasa hivi iliyoko.

Tatu ndugu Lowassa yupo karibu sana na watu wake hata kufiki hatua ya kuwa na sherehe kila mwanzo wa mwaka kuanzia mwaka 1995 hadi sasa,embu jiulize ni wanasiasa wangapi wenye uwezo wa kuwa na upendo wa namna hyo kwa watu wao japo uchaguzi umesha?wengi wao wanaishia kupita na magari kama hawakupigiwa kura na wananchi wa hapo.

Pia ndugu Lowassa yupo karibu sana na walimu wa shule mbalimbali nakumbuka siku moja alikuja katika shule fulani akawakuta walimu wapya na aliwajua akawauliza majina wakamwambia akawasilimu,alikuwa na makamu wa rais siku hiyo nakumbuka.

Mwisho ni Lowassa ni muhudhuriaji mzuri wa kanisani na ni jambo zuri sana kwa mtu kuhudhuria katika nyumba za ibada kwa kuwa hakuna alie msafi

LENGO LANGU MIMI NI KUTAKA KUWAELEZA WATANZANIA KUWA MANENO NA VITENDO NI VITU VIWILI TOFAUTI, WANASIASA WENGI HAPA NCHINI NI WATU WA MANENO BILA VITENDO HASA HASA WA CCM ILA BWANA LOWASSA YUPO TOFAUTI.

Nieleweke wazi kuwa mimi ni mwanaCHADEMA ila sijafungwa katika chama bali nazingatia utendaji wa kazi na uadilifu tofauti na wengine wengi ambao akiwa chama hiki etI kumsifia wa huku ni dhambi.

MUNGU AKUBARIKI
 
Duh,ungetoa takwimu ingekuwa ni bora kwani kuhusu kusomesha watu nakumbuka wakati lema amevuliwa ubunge kuna walizimia na wengine walikuwa wanaliawatasomeshewa na nani watoto wao,lakini bado hasafishiki mkuu kama ulivimbewa pilau ya monduli nakushauri kunywa andrews ndo uje upya!!!
 
Lema pia nam7apot kwa ilo na suala la kulishwa pilau sipo ivo ndugu we elewa t amefanya ayo na lema ndipo anapoelekea ndio viongoz tnaowataka hao,unielewe
 
Usikatae hilo lote ni pilau la Lowasa mlilokaribishwa na Wenzako ndio maana unaleta sifa chafu.
 
Duh,ungetoa takwimu ingekuwa ni bora kwani kuhusu kusomesha watu nakumbuka wakati lema amevuliwa ubunge kuna walizimia na wengine walikuwa wanaliawatasomeshewa na nani watoto wao,lakini bado hasafishiki mkuu kama ulivimbewa pilau ya monduli nakushauri kunywa andrews ndo uje upya!!!
Kwa hiyo ukikuta jambazi anagawa vitu vya wizi kwa maskini huyo unamfutia makosa, IQ ndooooogo!
 
una uhakika na ujambazi wake au unaambiwa na wewe?na hao wanaokwambia fulani ni jambazi wao wamefanya nini kwa jamii masikini ya tanzania?kumbuka hapa siongelei suala la vyama tena tambua hilo.... kuhusu iQ Yangu sidhani kama unajua hata jinsi ya kupima iQ ya mtu kaka umeishia la ngapi?
 
Usikatae hilo lote ni pilau la Lowasa mlilokaribishwa na Wenzako ndio maana unaleta sifa chafu.
usiropoke usichokijua wewe unaowasifia huwa wanakukaribisha pilau eeeh?sasa mimi sipo hivyo hapo ndipo tumetofautiana mimi pilau nakiona ni chakula cha kawaida sana
 
6a00d83555153869e20120a55c162e970c-800wi
 
[
Kwanza kabisa kuwasomesha baadhi ya watanzania wasio na uwezo,ndugu Lowassa amejitahidi sana kusomesha wanafunzi wengi sana wasiojiweza katika shule mbalimbali ikiwemo Manyara sec,Oltinga secondar,Makuyuni,Masai Girl na kujenga shule hiyo kwa kusaidia jamii ya kimasai kupata elimu.

Kasaidia si wamasai tu bali wananchi wa makabila mengne kwa kuwasomesha vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi na kufanya waweze kutimiza malengo yao.

Pili Lowassa amejitaidi sana kwa kipindi kifupi alichokua waziri mkuu kuboresha huduma mbalimbali kama barabara,maji,elimu na afya ukijaribu kuangalia kwa kipindi alichokua waziri mkuu hakukua na migomo ya hovyo kama sasa hivi iliyoko.

Ni vizuri kuwa na moyo wa kujitolea kusaidia binadamu wenzako hasa wale ambao hawana uwezo kama wewe. Mfano mmoja ni ule wa Bill Gates muanzilishi wa Microsoft na wengine wengi ambao walitumia mali za makampuni yao kusaidia.

Lowassa amekua mwanasiasa tangu enzi za Mwl. Nyerere, wakati ambapo wanasiasa walipaswa kutangaza utajiri wao. Nikumbukavyo mimi, hakuwa na utajiri wa kufanya mambo anayofanya sasa. Ningependea kujua utajiri huo wa kutoa misaada namna hiyo ameutoa wapi? Nina wasiwasi na utajiri wa Lowassa, hasa ukizingatia kuwa alijiuzulu uwaziri Mkuu kutokana na kashfa ya ufisadi wa Richmond.
 
ndugu sipingi hoja yako ila naona kama umetumwa vile. Hata mie naweza sema membe /magufli ni mtu safi na nikaandika hizo bra braaa ,karne hii ni tofauti na karne nyingine kmbka huu ulimweng wa digital unapokuwa unasema kitu au unataka kumsafisha mtu uje na facts za kutosha ,huwezi kuchange public's mind juu ya lowasa kwa pumba ulizo andika hapo juu.
 
duh wengine nao wanaleta thread ambazo hazina akili kama zao,ndugu huyu hasafishiki hata kwa sabuni aina ya kleensoft.
 
una uhakika na ujambazi wake au unaambiwa na wewe?na hao wanaokwambia fulani ni jambazi wao wamefanya nini kwa jamii masikini ya tanzania?kumbuka hapa siongelei suala la vyama tena tambua hilo.... kuhusu iQ Yangu sidhani kama unajua hata jinsi ya kupima iQ ya mtu kaka umeishia la ngapi?

Mkubwa umejitahidi sana kujaribu kumfanyia promo huyo ndugu, lakini tambua kuwa huyo bwana ananuka kwa kile ambacho inasemekana alikishiriki (dili ya RICHMOND) naamini unaikumbuka hii.
So, kabla hujaendelea kumsifia zaidi kwa hayo, MWAMBIE ASIMAME JUKWAANI HADHARANI NA AUELEZE UMMA WA WATANZANIA NAMNA ALIVYOSHIRIKI KWENYE ILE DILI!
Utakuwa umemsaidia sana kuliko kumpamba ilihali anauka!
 
kamsomesha nani nje ya nchii, labda kasaidia ndugu zakee huko mondulii... mtu akitoa michango ya fedha haimaanishi ndo kiongozi bora, kama hiyo ndo ingekua sababu Ndugu Mengi wa IPP na bonote angekua Rais wa hii nchii.. Nani kakutuma?
 
usiropoke usichokijua wewe unaowasifia huwa wanakukaribisha pilau eeeh?sasa mimi sipo hivyo hapo ndipo tumetofautiana mimi pilau nakiona ni chakula cha kawaida sana

Acha kutoa povu wewe kamwambie huyo aliekutuma kwamba kazi imekushinda.Unabaki kutokwa mishipa tu, mwaka huu magamba mna kazi kwel kweli........ Njaa inasumbua
 
ndugu sipingi hoja yako ila naona kama umetumwa vile. Hata mie naweza sema membe /magufli ni mtu safi na nikaandika hizo bra braaa ,karne hii ni tofauti na karne nyingine kmbka huu ulimweng wa digital unapokuwa unasema kitu au unataka kumsafisha mtu uje na facts za kutosha ,huwezi kuchange public's mind juu ya lowasa kwa pumba ulizo andika hapo juu.
ni kweli unaweza sema ni pumba nimeandika hayo ni mawazo yako ila kupitia izo unazoziita pumba najua kuna kitu umepata... ila nikuulize tu mbunge wako anakumbukwa kwa lipi?
 
acha kutoa povu wewe kamwambie huyo aliekutuma kwamba kazi imekushinda.unabaki kutokwa mishipa tu, mwaka huu magamba mna kazi kwel kweli........ Njaa inasumbua
sikiliza mr mi si magamba na ni chadema ila siongozwi na unafiki wa kutomkubali mtu hata kama amefanya jema tambua lengo la chadema si kupinga pinga tuu kama unavofikiri wewe kuna baadhi ya mambo yanaungwa mkono na kwa mimi binafsi kama mwanachama wa chadema nimeona napaswa kumpongeza lowassa kwa hayo,ingawa na yeye ana mapungufu yake
 
kwanza kabisa niwasalimu,

Lengo langu la kuleta uzi huu ni kumpongeza ndugu Edward Lowassa mbunge wa Monduli kwa haya yafuatayo,

Kwanza kabisa kuwasomesha baadhi ya watanzania wasio na uwezo,ndugu Lowassa amejitahidi sana kusomesha wanafunzi wengi sana wasiojiweza katika shule mbalimbali ikiwemo Manyara sec,Oltinga secondar,Makuyuni,Masai Girl na kujenga shule hiyo kwa kusaidia jamii ya kimasai kupata elimu.

Kasaidia si wamasai tu bali wananchi wa makabila mengne kwa kuwasomesha vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi na kufanya waweze kutimiza malengo yao.

Pili Lowassa amejitaidi sana kwa kipindi kifupi alichokua waziri mkuu kuboresha huduma mbalimbali kama barabara,maji,elimu na afya ukijaribu kuangalia kwa kipindi alichokua waziri mkuu hakukua na migomo ya hovyo kama sasa hivi iliyoko.

Tatu ndugu Lowassa yupo karibu sana na watu wake hata kufiki hatua ya kuwa na sherehe kila mwanzo wa mwaka kuanzia mwaka 1995 hadi sasa,embu jiulize ni wanasiasa wangapi wenye uwezo wa kuwa na upendo wa namna hyo kwa watu wao japo uchaguzi umesha?wengi wao wanaishia kupita na magari kama hawakupigiwa kura na wananchi wa hapo.

Pia ndugu Lowassa yupo karibu sana na walimu wa shule mbalimbali nakumbuka siku moja alikuja katika shule fulani akawakuta walimu wapya na aliwajua akawauliza majina wakamwambia akawasilimu,alikuwa na makamu wa rais siku hiyo nakumbuka.

Mwisho ni Lowassa ni muhudhuriaji mzuri wa kanisani na ni jambo zuri sana kwa mtu kuhudhuria katika nyumba za ibada kwa kuwa hakuna alie msafi

LENGO LANGU MIMI NI KUTAKA KUWAELEZA WATANZANIA KUWA MANENO NA VITENDO NI VITU VIWILI TOFAUTI, WANASIASA WENGI HAPA NCHINI NI WATU WA MANENO BILA VITENDO HASA HASA WA CCM ILA BWANA LOWASSA YUPO TOFAUTI.

Nieleweke wazi kuwa mimi ni mwanaCHADEMA ila sijafungwa katika chama bali nazingatia utendaji wa kazi na uadilifu tofauti na wengine wengi ambao akiwa chama hiki etI kumsifia wa huku ni dhambi.

MUNGU AKUBARIKI

Ukitaka kuongoza nchi bila kuwa na upinzani hakikisha watu unaowaongoza wawe Mambumbuu.........
 
kamsomesha nani nje ya nchii, labda kasaidia ndugu zakee huko mondulii... Mtu akitoa michango ya fedha haimaanishi ndo kiongozi bora, kama hiyo ndo ingekua sababu ndugu mengi wa ipp na bonote angekua rais wa hii nchii.. Nani kakutuma?
si kila anaesema ukweli ametumwa
 
Back
Top Bottom