ZAIDI ya nusu ya kaya za wananchi wa Bonde la Mpimbwe katika wilaya mpya ya Mlele, mkoani Katavi, hawana wala hawatumii vyoo hali inayochangia kuibuka kwa magonjwa ya mlipuko ya mara kwa mara...
Kuna mtu jana alipost video ya YOUTUBE nadhani ilikuwa ni ya kikao cha bifu zao huko BAVICHA lakini kilichonishangaza ni jinsi democrasia inavyooendeshwa kwa mithili ya kihuni na ubabe na jamaa...
Chama cha Mapinduzi kikemeendelea kuwakuna wananchi wa Kigoma kutokana na ukaribu wao na wananchi pampja na kutekeleza ahadi lukuki za kuwaondolea matatizo wananchi. Kuna kila dalili kuwa vyama...
NImeangalia na kufikiri na nikafikiri na kuangalia baadaye it hit me like a broken bulldozer! Wananchi wa Mtwara wameweza kuipigisha serikali ya CCM magoti. Mtwara na Lindi zimekuwa ngome nzito...
Kwa kweli inasikitisha sana,kuona Jeshi letu la Polisi linageuka kuwa wauwaji wa Raia,badala ya kuwa walinzi wa Raia na mali zao.
Taarifa ya habari saa mbili usiku huu,ktk kituo cha ITV...
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kikao cha Dharura cha Baraza Kuu la CHADEMA, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika amesema ujenzi wa bomba la gesi (usafirishaji) ni...
Hawa wazee walioibia Watanzania, wamesaini mikataba ya ufisadi, wameleta sera za kimasikini. Tanzania ni masikini kwa sababu ya hawa wazee ambao tume ya katiba inapoteza muda na pesa za wananchi...
Hotuba ya Mwl nyerere inaendelea sasa hivi kwenye kituo cha ITV.
Nilidokezwa kuwa hii ni moja ya hotuba msumali kwa viongozi wa sasa wanao tawala.
Ameanza kusema viongozi wanafanya makosa...
Kikao kikubwa cha CHADEMA kimeshindwa kufikia maamuzi magumu dhido ya Zitto na Shibuda. Pamoja na mikakati mizito iliyoratibiwa na Heche kwa kivuli cha BAVICHA wameishia kugawanyika kwa wajumbe...
Tanzania yateleza katika orodha ya Maripota wasiokuwa na Mipaka
Shirika la Maripota wasiokuwa na Mipaka limechapisha ripoti yake kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwa mwaka 2012.Barani...
Nimesoma story hii hapa chini nimegundua kichwa cha habari ahikiendani na kilichoandikwa "contents" na nahisi aliyeandika alikuwa na makusudi pengine ya kumchafua Magufuli ama amchonganishe na...
Ni swali gumu miongoni mwa wachambuzi wa siasa za upinzani hususan ndani ya chama cha CUF kama kuna mtu mwenye ushawishi au uwezo wa kupambana na kumzuia Prof Ibrahim H. Lipumba kugombea uraisi wa...
:violin:Leo hii napenda Watanzania wote watakaosoma NOTE hii wawafikishie ujumbe na wenzao.
Kwa muda sas mkoani Mtwara kumelikuwepo tafrani juu ya gesi asili. Wananchi waliamua kwa pamoja...
Nimesoma ahadi hizi za Serikali kuwatuliza wana Mtwara kwenye vyombo vya habari;Mawaziri walio ambatana na PM Pinda wamesisitiza ahadi hizi baadhi zitatekelezwa kabla ya uchaguzi 2015:
Kujenga...
habari wanabodi!
mwaka jana tulishuhudia serikali ya CCM, ambayo inajinanidi kuwa ni sikivu ikitumia nguvu kubwa kuwahamisha wakazi waliokuwa wakiishi Gerezani pale kariakoo, wakiwapa masaa kuhama...
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Sekenke uliopo wilaya ya Iramba mkoani Singida wamesisitiza msimamo wao wa kutoondoka kwenye eneo hilo kumpisha mwekezaji mwenye leseni wala...
Katika gazeti la Raia Mwema toleo namba 279, Jan23-29 2013 ukurasa wa wa 17 kuna makala yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu iliyoandikwa na Ndugu Paul Dotto. Mwandishi alikuwa anaelezea...
Ndugu wanabodi,
Leo nataka kumkumbusha Mwigulu nNchemba kuwa mimi kama mzee wake nilimwonya kuhusu tabia yake ya kiherehere cha kutaka kuupata umaarufu mapema akinadhania kuwa yeye ataweza...
ccm inabidi ifutwe kwa sababu inaendeshwa kinyume na katiba yake haina kamati kuu kwa zaidi ya miezi 3,hivyo inakosa sifa kuwa chama cha siasa bali ni genge la wahuni,wezi wa mali za taifa na...