SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa.
Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa...
MAELEZO YA ZITTO KABWE NA MAJIBU YAKE KWA MUSTAKABALI WA AMANI NA USALAMA WA TAIFA LETU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Hoja ya Zitto
(Zitto Kabwe anaonyesha mshangao wa hali ya juu na hasira ya...
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu.
Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende...
Ndugu zangu Watanzania,
Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi...
ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!
Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78.
Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za...
Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno.
Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa...
Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na...
King of Condolences -Peter Msechu tayari kashafyatua wimbo wa maombolezo wa Mheshimiwa Spika Mstaafu DrJob Ndugai.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Kongwa Dodoma,Mtoto wa kwanza wa marehemu aliyejitambulisha mbele za vyombo vya habari aitwae Catherine ameulizwa na Ayo TV ana wadogo wangapi amesema hana uhakika wapo wangapi lakini amekiri kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan licha ya jana kushinda kutwa nzima akifanya kazi mbalimbali pasipo kupumzika ...
Waafrika wengi wanapokuwa nje ya mfumo rasmi huonyesha dhamira ya kweli ya kutetea haki na kuleta mabadiliko. Hata hivyo, wanapopata nafasi za mamlaka, husahau majukumu waliyoahidi kuyatekeleza...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
Rais Samia ameongeza fedha za elimu bila ada toka TZS312.1bn hadi TZS1.3Trilioni kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imeendelea kutekeleza mpango wa elimu bila ada kuanzia elimu ya...
Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula...
Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania
CCM inakujaga na planned and calculated...
Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi.
Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na...
Wana mtandao wa CCM wamefanikiwa kuteka taifa letu
Sasa kwa gharama ya bilioni 700 za walala hoi muda ambao hakuna pesa za kuwalipa makandarasi wa barabara na reli nchi inaenda kwenye chaguzi za...
Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi...