na Happiness Mnale
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, amemuomba Jaji Mkuu, Othman Chande, ili kesi zinazohusiana na rushwa...
Binafsi mm naona usalama wa taifa walichungulia ile post yetu ndio maana leo wameamua kumbeba mama Maria kutoka Msoma hadi ZANZIBAR kumpatia kitambulisho.
Binafsi mm kwanza naona ni ufujaji wa...
Na Sharon Sauwa
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula
Mapendekezo ya rufaa za malalamiko ya rafu zilizochezwa katika chaguzi mbalimbali za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
KWANZA ilikuwa ni ndani ya chama tawala CCM, lakini malumbano baina ya vigogo sasa yamehamia serikalini baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Eliezer Feleshi kujibu mashambulizi ya mkurugenzi...
Madudu ya makinda Bungeni yaanikwa, Wabunge CCM nao wapanga kumng'oa
MKAKATI wa Spika wa Bunge, Anna Makinda, kutaka kuitetea serikali hata pale inapofanya madudu ya wazi, umeelezwa kuwa...
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete na maraisi wastaafu Ali Hassan Mwiyi na Benjamini William Mkapa wanatarajiwa kushiriki katika maziko ya Askofu mstaafu wa kanisa Catolic jimbo la Moshi mhasham Amedeus...
Baada ya viongozi wa CHADEMA kutoa namba za spika kwa ajili ya wananchi kuhoji uonevu unaofanywa na kiti chake, wananchi wameikitikia mwito huo vizuri kwa kumtukana spika, TCRA na polisi...
Source BBC
Katika hari ya kutuliza na kujaribu kuweka mambo sawa katika mkoa wa Geita katika kijiji cha Buseresere mpaka mda huu makubaliano na maaskofu kuhusu nani ana haki ya kuchinja...
Hivi karibuni baada ya aliyekuwa mwenyekiti msaidizi wa BAVICHA Juliana Shonza kuvuliwa uongozi huo, ameonekana kuchanganyikiwa na kuhangaika sehemu nyingi huku akitoa maneno ya kashfa kwa...
Na Mwinyi Sadallah
Mahakama Kuu ya Zanzibar, imeombwa kuondoa vizigiti kwa watu wanaokwenda mahakamni kufuatilia kesi inayowakabili viongozi 10 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...
Na Moshi Lusonzo
Hofu ya kushambuliwa na wananchi wanaopinga ujenzi wa bomba la gesi imesababisha baadhi ya polisi waliokuwa wanafanyakazi mjini Mtwara kutimka na kutelekeza vituo vya kazi...
Najiuliza sana hili, hv upinzani wana matatizo gani wawapo bungeni?
Nikiangalia akina Mh. Lukuvi huwa wanasimamiaga sana utaratibu wanapozungumza wapinzani!
Lakini hili la Dr. Vitumbua...
Kumekuwepo na jitihada nyingi sana za watawala /viongozi wetu kuzuia mambo wanayoona ni mabaya yasionekane kwa wananchi lakini mambo hayo yakiwa yanafanywa na wao wenyewe. Huku wakijua kabisa na...
Duniani pote vyama vya siasa na wafuasi wao wanaoitakia mema nchi yao, wamalizapo uchaguzi kazi inayobaki ni moja tu - kuungana na raia wengine waote kuchapa kazi kuijenga na kuiendeleza nchi yao...
A young Boy asks his father.............. ''Dad how does politics actually work?''
The father tells his soon..........
Well you see, its like this, I make the money and bring it home, so...
Imekuwa ni muda sasa wakazi wa jimbo la kwela na hasa vijiji vya laela,kilyamatundu na maeneo yote ya bonde la ziwa rukwa kusumbuliwa na mtu mmoja anayeaminika kuwa ni jkt aliyemaliza mkataba ama...
Wizara ya elim na mafunzo ya ufundi imeajiri walim 26000 ambao tayari imewapangia vituo vya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini.hakuna mwalimu aliepangiwa dsm.source. Vyombo vya habari na wizara
Published on 13 Feb 2013Kituo cha sheria na haki za binadamu kwa kushirikiana na taasisi ya kiraia ya kufuatilia mwenendo wa bunge Tanzania,wamemtaka spika wa bunge,naibu spika na wenyeviti wa...
TAMKO LA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KUHUSU MAANDAMANO NA VURUGU ZILIZOTOKEA MKOANI MTWARA JUU YA UJENZI WA BOMBA LA GESI
NA MAENDELEO YA MKOA WA MTWARA
1. Halmashauri Kuu ya Taifa...