Mkuu wa wilaya ya Temeke akanusha

Mkuu wa wilaya ya Temeke akanusha

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi Sofia Mjema amekanusha habari zilizotolewa na gazeti la Majira kwamba aliamuru watu wanaotembea nusu uchi wachapwe viboko. Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm amesema hakusema hivyo bali alisema wachukuliwe hatua watu wanaotembea nusu uchi!

Nadhani ameona anataka kuweka sheria ya kipekee akaamua kukana!.

Hao ndo wakuu wa wilaya wa Jk
 
Wandishi wetu nao pia wakati mwingine hawaaminiki, huwalisha watu maneno. Ila kama huyo mwandishi anaushahidi wa video, atuwekee hapa ili kumaliza ubishi.
 
Walisemaga kuna digrii za boxer, vipi kuhusu vyeo vya bukta...!??
 
Chombo kimoja cha habari kinatoa habari moja kwa utofauti katika nyakati mbili tofauti au vipind viwili tofauti!vyobo vyetu vya habari vinakosa umakini!
Haohao clouds asubuh kwenye PB wametangaza mkuu wa wilaya amesmawatembea nusu uchi wachapwe viboko then jion kwenye jahazi wanatoa habari ya kukanusha!ina maana wankurupuka kwenye mambo yao kwanini hawakuifwatilia habari kwakina kisha kuitangaza!?
 
Mkuu wa wilaya ya temeke Bi Sofia mjema amekanusha habari zilizotolewa na gazeti la Majira kwamba aliamuru watu wanaotembea nusu uchi wachapwe viboko. Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm amesema hakusema hivyo bali alisema wachukuliwe hatua watu wanaotembea nusu uchi!
Nadhani ameona anataka kuweka sheria ya kipekee akaamua kukana!
Hao ndo wakuu wa wilaya wa Jk
mimi naona hii ya kuchapwa viboko imekaa vizuri, wanatutia mishawasha tu barabarani. au mleta mada wewe unaona sawa watu kutembea nusu uchi. hebu fikiria kidogo kama angekuwa mama yako, dada yako au mtoto wako ungejisikaje? jamani hebu tuwe na ustaarabu hata kigodo basi,. Aghhh!
 
udhaifu wako wa mwili usiutumie kuhalalisha vitendo vya wahuni mitaani kuwabugudhi mabint zetu,dada zetu na mama zetu kwa kisingizio cha mavazi!
 
Hawakumwelewa vizuri. Alisema wachukuliwe hatua za kuchapwa fimbo. Je sheria ya nchi inamkataza mtu kuvaa kimini au kuvaa kata K? Ni adhabu au hatua zipi stahiki zichukuliwe. Hawa ndio wakuu mbofumbofu tunaojivunia!
 
Chombo kimoja cha habari kinatoa habari moja kwa utofauti katika nyakati mbili tofauti au vipind viwili tofauti!vyobo vyetu vya habari vinakosa umakini!
Haohao clouds asubuh kwenye PB wametangaza mkuu wa wilaya amesmawatembea nusu uchi wachapwe viboko then jion kwenye jahazi wanatoa habari ya kukanusha!ina maana wankurupuka kwenye mambo yao kwanini hawakuifwatilia habari kwakina kisha kuitangaza!?
Vyombo vingi vya habari vimejaa watu wasiotumia akili.
Hata kukopi na kupaste kunawashinda!

Fuatilia habari moja inavyoandikwa kitofauti na kila gazeti na ndio utagundua kuwa waandishi wengi ni vilaza.
Mkuu wa Wilaya kafanya vizuri kukanusha, na kama Majira wana any sense of journalistic proffessionalism watuthibitishie kuwa Mkuu alikosea kwa kuweka audio ambayo walim quote verbatim.
 
mimi naona hii ya kuchapwa viboko imekaa vizuri, wanatutia mishawasha tu barabarani. au mleta mada wewe unaona sawa watu kutembea nusu uchi. hebu fikiria kidogo kama angekuwa mama yako, dada yako au mtoto wako ungejisikaje? jamani hebu tuwe na ustaarabu hata kigodo basi,. Aghhh!
tengeneza vizuri fikra zako maana wengi wanaotamani wale wanaowaita watembea uchi ndo haohao wanatamani kuwafunua wavaa baibui, tatizo ni fikra..
 
Ifike mahali waafrika tuache kuiga mila na desturi zetu.Hata akivaa hiyo min au kata K basi aangalie mahali alipo au anapoenda.Unamkuta mtu kavaa kata K au mini mpaka inaudhi yupo ofisini,maadili yetu yanaenda wapi?Zamani walikuwa wanakuchania hiyo nguo hapohapo barabarani na ilisaidia sana akina mama ,dada,kaka na akina baba walianza kuvaa kwa kujiheshimu.Ni sawa tu wakichapwa viboko ili kufundishwa kuwa binadamu anastahili kujiheshimu kwanza ili aheshimiwe. na kuvaa nusu uchi siyo tu kunamdhalilisa huyo mtu binafsi bali jumuia nzima ya kitanzania.
 
kwa sasa waaandishi nao wameshaingia ktk siasa....so ni vzuri kuchuja habar kwanza kabla hujazishabikia.
 
siku nyingine aongee vizuri na kutoichanganya hadhira....shoot!!
 
serikali ya jk YAANI(JAMAA KAJAMBA)AU SIO KIREFU CHAKE SHAME ON CCM
 
Hawakumwelewa vizuri. Alisema wachukuliwe hatua za kuchapwa fimbo. Je sheria ya nchi inamkataza mtu kuvaa kimini au kuvaa kata K? Ni adhabu au hatua zipi stahiki zichukuliwe. Hawa ndio wakuu mbofumbofu tunaojivunia!
una uelewa na kitu maadiri? Kwa mtanzania kuvaa nusu uchi, kufanya mp hadharani, mke na mume kuishi bila ya ndoa nk. Tayari unavunja maadiri inapobidi adhabu jamii ndio inakuadhibu.
 
mimi nadhani angesimamia hilo,jamani hata mimi hawa wanaotembea nusu trousres wananibore sana,i think itabidi wakuu wa wilaya wa JK walifanyie kazi kwani kwa wabunge itakuwa issue wakati wa Kampeni so sitawashauri kuliingilia kisiasa
 
tengeneza vizuri fikra zako maana wengi wanaotamani wale wanaowaita watembea uchi ndo haohao wanatamani kuwafunua wavaa baibui, tatizo ni fikra..
inawezeka kwa ulisemalo. lakiniyule wa kwenda kumfunua mtu baibui ni wakujitakia ila yule wa kumfuta mtembea uchi .......jibu unalo
labda tu nikuulize kiswali kidogo, hebu assume ni mama yako, dada yako au daughter wako. how do you find?
 
udhaifu wako wa mwili usiutumie kuhalalisha vitendo vya wahuni mitaani kuwabugudhi mabint zetu,dada zetu na mama zetu kwa kisingizio cha mavazi!
mkuu huo utakuwa udhaifu wa hao wanawake. kwani wasivae kwa kujisitiri? mwanaume aliyerejali lazima awe sensitive. na huo ndo ukweli. kuna haja gani ya kuonyesha watu makalio yao, matiti yao na viungo vingine vya siri. mbaya kabisa hata walioolewa, sijui wanawaonyesha akina nani tena wakati tayari wanaume wanao majumbani kwao.
labda tu nikuulize mkuu, hivi wewe ungependa dada yako, mama yako na daughter wako watembee uchi mitaani? ni swali tu.
 
Back
Top Bottom