Hizi ni baadhi ya Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM.
1. Kuwa "Untouchable": Unajenga taswira ya kuwa mtu muhimu kwa chama na serikali.
2. Kupata Taarifa za Uchunguzi: Kupitia uhusiano wako...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema hadi kufikia Agosti 4, 2025 kimepata jumla ya watia nia wa udiwani 2,116 kati ya kata 3,953, sawa na asilimia 53 ya kata zote nchini.Aidha, kwa upande...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo na mtaalamu wa uchumi, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa watu wote- ndani na nje ya Serikali wanaojihusisha au kupanga kumsaidia mfanyabiashara...
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85%...
Harambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.
CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.
Usiku Mwema Wahaini...
GT
1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu
2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa.
3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi.
4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao.
5...
Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
Wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe, babalishe na vijana wa bodaboda mkoani Arusha leo Jumanne Agosti 12, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumuunga mkono na kumdhamini mgombea urais wa Chama Cha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimechukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya jumla ya wanachama kumi na wawili (12), wakiwemo watano waliokuwa bado hawajajiondoa...
Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amechangia Milioni 50 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025 Harambee hii inalenga kukusanya shilingi bilioni 100...
Wakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa...
Yeriko Nyerere mwanachama wa zamani wa CHADEMA aliyejiunga CHAUMMA hivi karibuni, amepewa kazi maalum.
Kazi hiyo maalum ni kuhakikisha anawadhoofisha kimkakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA na...
Kaulimbiu ya "No reforms, no election" (Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi) ni ujumbe wa kisiasa unaotumiwa na vyama vya siasa au makundi ya kijamii kudai mabadiliko ya kimsingi katika mfumo wa...
Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa...