Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sitozungumzia yaliyotokea huko nyuma lakini Uzi huu ubaki kumbukumbu ya rejea kwa vizazi vijavyo kwenye mambo yafuatayo kuhusu CCM: 1. CCM ni mfumo 2. CCM ni mfumo mkubwa kuliko mifumo watu 3...
1 Reactions
4 Replies
261 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, Mgombea akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam ameeleza yale...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Waswahili wana msemo akiutaka mpe,yeye ndiye atakayejua. Hakuna asiyejua Magufuri alifanya mambo makubwa sana ambayo hatukuwahi kuyashuhudia maishani mwetu Tanzania ilipaa na kusifika kila...
3 Reactions
21 Replies
782 Views
Wakuu, Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Tume ya Amani ya DRC awali ilikuwa na Obasanjo, Uhuru Kenyata nk lakini jana wameongezwa Wastaafu wengine akiwemo Rais mstaafu wa Angola Ndio najiuliza kwanini Ruto hakumpendekeza nguli wa...
0 Reactions
8 Replies
404 Views
Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Vunjo wameeleza mshangao wao mkubwa kufuatia kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Mhe. Dkt. Charles Kimei — ambaye amebaki kwenye...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais kwa Heshima kubwa kama ikikupendeza mwaka 2026 fanya harambee ya kuchangisha pesa kugharamia ada za masomo ya ufundi (VETA) kwa vijana. Najua hushindwi kitu, ajira zimekuwa ngumu kwa...
2 Reactions
4 Replies
351 Views
https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi...
7 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ikiendelea kuunguruma mahakamani, @khaan_mbarouk ametaka kujua muktadha mzima wa kesi ambapo mkutubi @farhankihamu_jr ameamua kumrudisha kwenye...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T) Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa...
1 Reactions
1 Replies
319 Views
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama huna nguvu hutafika popote wala hutateka chochote Yohanne anaelezea nguvu za Kiimani lakini katika Siasa zetu wenye nguvu za kiuchumi ndio huuteka Ufalme Ufalme siyo Kuongoza bali kuenjoy...
1 Reactions
0 Replies
199 Views
Kuna watu wanasema eti Polepole alizuia demokrasia mara ooh alikandamiza wapinzani eti aliunga mkono watekaji Sasa Polepole alikuwa nani serikalini? Si yeye alikuwa katibu wa itikadi na uenezi wa...
0 Reactions
6 Replies
411 Views
Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Rais Samia amejenga Hospitali ya Rufaa Mwanza kwa TZS25bn,akaboresha huduma za afya Bugando kwa TZS10bn na akafanya ukarabati wa hospitali kwa TZS5bn Rais Samia katika jitihada zake za kuimarisha...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Yanga ilikuwepo, ipo, na itakuwepo. Usiku wa kuamkia leo umewakera wanayanga wengi kwa uamuzi wa kutoa mchango wa fedha kwa chama cha siasa. Yanga ina mashabiki kutoka vyama vyote vya siasa. Hata...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
"Mama Samia na Urithi wa Migawanyiko: Nchi Inavyozidi Kutengana" Tangu Mama Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, taifa limeingia kwenye sura mpya yenye mchanganyiko wa matumaini na...
2 Reactions
7 Replies
504 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…