Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu! Kwa kifupi Time is best judge and it will tell! Kikao kinaendelea Kwa...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini? Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo 2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow 3. Kawakaba wabunge wenzake 4. Sasa yuko na Abdul na wenje 5. Viti maalumu...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake. Uzi wenyewe ni huu hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/fixed.1847493/ Nilihoji kwa kutumia...
62 Reactions
102 Replies
5K Views
Tusipotezeane muda mambo ni mengi. Haina haja kutumia akili nyingi kujua nani ni nani, nani yuko kwaajili ya wananchi, nani yuko kwaajili ya tumbo lake au nani yuko kwaajili ya chama kingine...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Unapozungumzia Simba na Yanga, unagusa maisha ya watu zaidi ya milioni 40 Tanzania. Kila kona ya nchi kuna shabiki wa timu hizi, MPIRA NI DINI YA PILI TANZANIA. Baada ya Yanga kuchangia harambee...
2 Reactions
5 Replies
501 Views
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake . Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili. Na mahausiano yao yalikuwa vizuri . Hivyo naomba Serikali na wadau...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari za usiku wakuu! Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu...
42 Reactions
250 Replies
9K Views
Hakuna shaka yeye ndiye mshindi hivyo kwa lengo la kuwaenzi waasisi waliop hai na wale walioenda mbele za haki.
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Mnacheza Ngoma ya Lumumba badala ya kuwazia kushuka Dola kwa sanduku la Kura. Niwape pole ila hamjachelewa sana
1 Reactions
16 Replies
529 Views
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi. Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni sana. Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika...
-1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwamposa anachukiwa sana na sisi CCM in general na Mama Samia in particular. Mama Samia ameitembelea Mwanza mara kibao akiwa na idadi kubwa ya wasanii wazuri lakini hajawahi hata kufikisha idadi...
0 Reactions
3 Replies
443 Views
Ndio maana anahimiza kesi yake isikilizwe haraka.Ili damu yake imwagike kwa ajili ya taifa lake
15 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati Mh Hayati Magufuli anagombea Hayati Mengi alimpelekea Bahasha ilivyokuwa imewekwa Milioni Kumi kama mchango wake kwa kampeni za uraisi. Kwa mujibu wake Mh Hayati pombe Magufuli alizikataa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila ametaja mambo matatu ya msingi yanayopaswa kupewa kipaumbele ili Tanzania ifanikishe Dira ya Taifa ya Maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Karibu! Up dates; Balozi Valentino Mlowola anakula kiapo sasa mbele Rais Magufuli. Na sasa anakula kiapo cha uadilifu mbele ya jaji Nsekela. Ukumbi umesheheni viongozi mbalimbali wakiwemo...
5 Reactions
55 Replies
9K Views
Mchana mwema VIJANA wenzangu πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
1 Reactions
13 Replies
530 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…