Tanzania: A dead man walking

Tanzania: A dead man walking

mazoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
215
Reaction score
41
1.60% ya vijana kupata Div.4 ,hakuna hata mtu mmoja anawajibika
2.Waziri amejulikana wazi beyond doubt kwamba alitumia vyeti vya mtu mwingine,na majina tofauti.
Lakini hakuna anayemwajibisha
3.Hakuna rule of law,Polisi wanajichukulia sheria mkono,na policy y shoot to kill
4.Inaonekana Polisi,TISS ni branch za Ikulu.Hawawajibiki na bunge ambalo ni wakilishi
5.Waziri mwingine amaeuliwa kuwa Chairman wa Kamati nyeti ya Bunge.Mbunge huyu
alikutwa na hela nyingi kwenye offshore bank account zikihusishwa na scandal ya Radar.
Also aliua kwa dangerous driving ,no driving license au bima ya gari.
6.Tumesikia leo kuanguka kwa ghorofa!!!!!Hizi zote ni dalili za corrupt society,kwamba kupata tender ya
kujenga lazima utoe kitu kidogo,sio kwamba wewe ni mtaalaam zaidi ya mwingine bali kama utakata kitu kidogo
kwa wakuu
7.Serikali inashitaki watu kwa ugaidi!!!!!Really???Politics at worse.Gaidi ni EPA,radar scandal,ANBEN,watu wanoibia madini yetu serikali inaangalia tu,Wanaokula njama kusafirisha live animals(twiga) wetu uaibuni.
8.Wachina wamekuja na gear kubwa !Mikataba 17 ambayo bunge la nchi halijashilikishwa kabisa/
Nani aliamua bandari ijengwe Bagamoyo?Kwani za Tanga na Dar zisinge imarishwa?
Au Mtwara kujegwa mpya ku boost mikoa hiyo ya kusini yote?
Juzi tumeona Mtwara ,Mr Kigoda na so called wawekezaji wakiwa embarrased na reception waliyopata huko!!!
Kuna kitu kinakuja taratibu.
You cannot FOOL people forever
9.Huduma ya afya ni poor!Hatuko equiped na karne ya 21.Kama majeraha ya Dr Ulimboka na Kibanda hayawezi
kutibiwa katika hopitali zetu basi tuko doomed.Akina mama wajawazito wanalala chini,jijini Dar Es Salaam.It is a shocker
 
Tutafanya kila linalowezekana kuelimishana juu ya haya ili tusionekana wote kuwa wafu. It' really sad to have ' laise a' faire gvt''.
 
Tumejipanga tuko makini tutalifanyia kazi ndo misemo ya viongoz wa CCM.
 
1.60% ya vijana kupata Div.4 ,hakuna hata mtu mmoja anawajibika
2.Waziri amejulikana wazi beyond doubt kwamba alitumia vyeti vya mtu mwingine,na majina tofauti.
Lakini hakuna anayemwajibisha
3.Hakuna rule of law,Polisi wanajichukulia sheria mkono,na policy y shoot to kill
4.Inaonekana Polisi,TISS ni branch za Ikulu.Hawawajibiki na bunge ambalo ni wakilishi
5.Waziri mwingine amaeuliwa kuwa Chairman wa Kamati nyeti ya Bunge.Mbunge huyu
alikutwa na hela nyingi kwenye offshore bank account zikihusishwa na scandal ya Radar.
Also aliua kwa dangerous driving ,no driving license au bima ya gari.
6.Tumesikia leo kuanguka kwa ghorofa!!!!!Hizi zote ni dalili za corrupt society,kwamba kupata tender ya
kujenga lazima utoe kitu kidogo,sio kwamba wewe ni mtaalaam zaidi ya mwingine bali kama utakata kitu kidogo
kwa wakuu
7.Serikali inashitaki watu kwa ugaidi!!!!!Really???Politics at worse.Gaidi ni EPA,radar scandal,ANBEN,watu wanoibia madini yetu serikali inaangalia tu,Wanaokula njama kusafirisha live animals(twiga) wetu uaibuni.
8.Wachina wamekuja na gear kubwa !Mikataba 17 ambayo bunge la nchi halijashilikishwa kabisa/
Nani aliamua bandari ijengwe Bagamoyo?Kwani za Tanga na Dar zisinge imarishwa?
Au Mtwara kujegwa mpya ku boost mikoa hiyo ya kusini yote?
Juzi tumeona Mtwara ,Mr Kigoda na so called wawekezaji wakiwa embarrased na reception waliyopata huko!!!
Kuna kitu kinakuja taratibu.
You cannot FOOL people forever
9.Huduma ya afya ni poor!Hatuko equiped na karne ya 21.Kama majeraha ya Dr Ulimboka na Kibanda hayawezi
kutibiwa katika hopitali zetu basi tuko doomed.Akina mama wajawazito wanalala chini,jijini Dar Es Salaam.It is a shocker
mwaka 1976 Tanzania ililaaani vibaya sana sana kitendo cha taifa la Israel kukomboa mateka wake pale entebe uganda. Tena lilikuwa taifa pekee la watu weusi duniani kuungana na maadui wa israel kulaani kitendo kila na kufikia mahala hata kuthubutu kupeleka muswaada UN wa kuilaani Israel.

Kama mungu alisema kwa abrahanu kuwa nitamlaani yeyote atakaye kulaani na kumpenda yeyote atakaye kupenda wewe angalia kati yetu na Kenya tulivyopokea kuokolewa mateka wa israel pale enetebe. kenya walifurahia sana kuokolewa mateka pale entebe na waliruhusu ndege za Israel kujaza mafuta bure na kuwaweka oncall madaktari zake wote usikuwa wa kuokolewa mateka wale.

sasa kati ya sisi na Kenya nani kalaaniwa na nani kapata baraka? halafu mbaya zaidi mwaka 2004 mataifa ya kiarabu yaliziomba nchi za kiafrica mwanachama wa NON alignment ziwanyime visa wayahudi wote watakao taka kutalii nchini mwao, maraisi wa africa akiwamo wa tanzania waalikubali maombi hayo ya waarabu ila waakajobolewa na India na south afrrica asifanye hivyo kwa sababu siyo ridhaa ya wananchi waliomchagua.

Sasa wewe fanya mahesabu, je tutabarikiwa kweli kuja kuwa na uchumi mzuri kupira Ivory cost, Kenya na Nigeria? kweli kabisaa, tutabakia kuwa na rasilimali nyingi ila tutatajirisha wenzetu tuu.
 
1.60% ya vijana kupata Div.4 ,hakuna hata mtu mmoja anawajibika
2.Waziri amejulikana wazi beyond doubt kwamba alitumia vyeti vya mtu mwingine,na majina tofauti.
Lakini hakuna anayemwajibisha
3.Hakuna rule of law,Polisi wanajichukulia sheria mkono,na policy y shoot to kill
4.Inaonekana Polisi,TISS ni branch za Ikulu.Hawawajibiki na bunge ambalo ni wakilishi
5.Waziri mwingine amaeuliwa kuwa Chairman wa Kamati nyeti ya Bunge.Mbunge huyu
alikutwa na hela nyingi kwenye offshore bank account zikihusishwa na scandal ya Radar.
Also aliua kwa dangerous driving ,no driving license au bima ya gari.
6.Tumesikia leo kuanguka kwa ghorofa!!!!!Hizi zote ni dalili za corrupt society,kwamba kupata tender ya
kujenga lazima utoe kitu kidogo,sio kwamba wewe ni mtaalaam zaidi ya mwingine bali kama utakata kitu kidogo
kwa wakuu
7.Serikali inashitaki watu kwa ugaidi!!!!!Really???Politics at worse.Gaidi ni EPA,radar scandal,ANBEN,watu wanoibia madini yetu serikali inaangalia tu,Wanaokula njama kusafirisha live animals(twiga) wetu uaibuni.
8.Wachina wamekuja na gear kubwa !Mikataba 17 ambayo bunge la nchi halijashilikishwa kabisa/
Nani aliamua bandari ijengwe Bagamoyo?Kwani za Tanga na Dar zisinge imarishwa?
Au Mtwara kujegwa mpya ku boost mikoa hiyo ya kusini yote?
Juzi tumeona Mtwara ,Mr Kigoda na so called wawekezaji wakiwa embarrased na reception waliyopata huko!!!
Kuna kitu kinakuja taratibu.
You cannot FOOL people forever
9.Huduma ya afya ni poor!Hatuko equiped na karne ya 21.Kama majeraha ya Dr Ulimboka na Kibanda hayawezi
kutibiwa katika hopitali zetu basi tuko doomed.Akina mama wajawazito wanalala chini,jijini Dar Es Salaam.It is a shocker
When the regime of Ujamaa na kujitegemea collapsed and all our industries and parastatals were privatized, there was only one group within the Tanzania with money to buy the mines, and new industries ,and that was Mafisadi!! But the MAFISADI did more that buying the mines and news industries--It bough the government! now the chinese are taking the advantage.............!

God in your hand we surrender our country!!!!!!!!!!
 
Serikali yetu ni "sikivu" wapo kwenye mchakato na mpango mkakati unaosimamiwa na kikosi kazi maalum kuhakikisha kero ndogo ndogo kama ulizotaja zinakuwa historia ifikapo Novemba 2013
 
Back
Top Bottom