Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ni muda sasa toka meli ya mizigo ya katibu mkuu wa chama ikamatwe kule honkong alakini mpaka muda huu hatukujua na wala hatujui ni nini kinaendelea. [1]serekali haijasema imechukua hatua gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Mtakumbuka kuwa tarehe 26 januari mwaka huu, ziliibika ghasia zikiwahusisha madereva wa piki piki maarufu kama 'boda boda' na askari wa jeshi la polisi maarufu kama 'tigo', madereva...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA leo amesema majibu aliyoyatoa Nape kuhusu kampuni ya CCM ya Jitegemee hayajitoshelezi kwani hayajibu swali la msingi la "kwa kwanini kampuni ipewe tenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
" We threw Amini out and he ended up dying in exile in Saudi Arabia. Does this grand-daughter of (Kamuzu) Banda (President Joyce Banda) want us to do the same to her?" Tafsiri yangu; " Tulimuondoa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mh. CAG, walimu wanaomba ukague michango ya walimu wanayokatwa kila mwezi na uhoji mapato na matumizi yake.Unaombwa kufanya hivyo haraka tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ndugu yangu January Makamba alipata kuyasema haya, Desemba 9, 2012 pale Nkrumah Hall; " Msituone sisi wanasiasa tunakumbatiana mkadhani wote tunapendana. Tukivua mashati mkaangalia...
2 Reactions
100 Replies
13K Views
Amewasihi watanzania wasiwe na wasiwasi, Tanzania imejipanga kuibomoa Malawi mahakamani kwani serikali ina ushahidi unaolingana na mlima Kilimanjaro.
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanajamvi, Katika upekuzi wangu wa hapa na pale nimepata wazo kuwa viongozi wengi hasa wa bara la afrika wana IQ ndogo. Hii ni kutokana na kuwa watu wenye IQ ndogo tangu wakiwa wadogo au katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ninapata shida sana ninaposhuhudia ajali barabarani ambayo kwa mtizamo hata usio wa kitaalamu sana inaonesha kuwa ajali hiyo ilikuwa ya kuepukika na badala yake inasababisha maumivu makali na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Poll Poll
kama kichwa cha habari kilivyojieleza hebu tuchangie wanajamvi.
5 Reactions
181 Replies
14K Views
  • Closed
Jk ali black mail CCM na baadaye taifa Zima kwa kauli ya mwl...taifa lilikuwa ktk immense pressure kiasi ch akumpitisha kila mahali bila kuhoji weledi wake ktk uongozi, na mara nyingine aliyehoji...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
wote mnakaribishwa mawazo , ushiriki, na utayari wakoutaijenga tanzania
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jaji mstaafu Ernest Mwaipopo afariki kwa dunia kwa ajali ya gari Morogoro. source ITV Breaking news saa 11.30
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Risasi zinarindima! Ni baada ya raia mmoja kupewa kichapo hadi kufariki. MWILI WA MAREHEMU YOHANA MDA MCHACHE BAADA YA KUUAWA NA WANAJESHI WA JWTZ. Updates: - Gari la Polisi (Difenda)...
13 Reactions
231 Replies
36K Views
The government of the United Republic of Tanzania, through the minister of natural resources and tourism on 26/03/2013 has officially announced to forcefully evict people living in loliondo Game...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Ni kwamba nimetoka eneo kulikobomoka jengo la ghorofa 16 na likabaki shimo, ambako saa moja iliyopita Kamati ya Bunge Maliasili na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo James Lembeli...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Mh. Ibrahim Kisoki ambae ni Diwani wa kata ya Goba (CCM) na mmiliki wa Kampuni ya Lucky Construction Limited iliyojenga lile ghorofa lililoporomoka majuzi ana haki ya kuipigania CCM kwa nguvu zake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
MTANZANIA Jumatano, Aprili 03, 2013 07:30 Na Charles Mullinda Kurasa 1 kati ya 5 *Shonza, Mwampamba...
1 Reactions
436 Replies
34K Views
  • Closed
Wanabodi, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kinasema kimebaini mkakati wa makusudi kuwadhuru viongozi wa chama pamoja na mpango wa kuidhoofisha CHADEMA mpango huo unaratibiwa na Idara ya...
6 Reactions
160 Replies
12K Views
Katika miaka ya 2010-2013 ni wazi kuwa CHADEMA imezidi kupata umaarufu na kukubalika zaidi kwa raia wa Tanzania. Hii imetokana na juhudi kubwa ambazo zimefanywa na wanachadema. Pamoja na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…