Akihojiwa juzi kuhusu uwezekano wa viongozi wakuu wa chadema hususani mbowe na slaa kuitwa na kuhiojiwa na polisi kuhusu sakata la Lwakatare, kamanda Kova alinukuliwa akisema, "timu ile ya watu 12...
Serikali inapandisha mishahara ya watumishi wote wa umma nchini.Naomba serikali ijipange kuzuia mfumuko wa bei ambao utaokea kutokana na ongezeko hlo.Tayar tumeanza kusikia vitu vimepanda bei...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa wilaya mpya ya kakonko mkoani kigoma wameusubiria kwa hamu 2015 ili wafanye maamuzi sahihi ya kuisimika madarakani.
Kufuatia mwamuko wa vijana kuhusu elimu ya uraia, vijana wengi hasa waliomaliza vyuo vikuu wameapa na kuamua kugombe nafasi za udiwani na ubunge ili kuing'oa ccm kuanzi chini. Hii ni kutokana na...
SIKU moja baada ya Mkurugenzi wa Mambo ya Katiba wa CHADEMA, Tundu Lissu kufichua njama zinazofanywa ili kutengeneza ushahidi wa uongo kwa ajili ya kuutumia katika kesi ya ugaidi inayomkabili...
Kesi ya Lwakatare hatarini kufutwa tena
• Polisi, ofisi ya DPP wanyosheana vidole
na Mwandishi wetu
Tanzani Daima
KESI ya ugaidi inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa...
Kwanini mkutano kama Ule wa Temeke wenye SURA YA KITAIFA MSINGEUWEKA LIVE KWENYE TV na Redio ata mbili na kutangaza mara kwa mara kwenye tV HIZO NI MUDA GANI MTAKUWA HEWANI.
Kwanini msitengeze cd...
SIASA
Polisi wakiwa wanamshambulia aliyekuwa mwandishi wa Channel 10,Daudi Mwangosi
Na Hakimu Mwafongo, Iringa
Posted Jumatatu,Januari7 2013 saa 9:31 AM
KWA UFUPI
"Tulikaa Iringa kwa...
Huyu Mmasai kwenye video hapo chini anasema kuwa Ilani ya Chama cha Mapinduzi inasema Maisha Bora kwa kila Mtanzania, lakini sasa imekuwa maisha bora kwa kila mnyama! Anasizitiza kuwa madiwani wa...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kuanzia sasa mawaziri watakaoshindwa kufikia viwango vya uwajibikaji watafukuzwa kazi. Mbali na hayo amewataka waandishi wa habari kutembelea wizara kila baada...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha NRA Taifa, Hamisi Kiswaga amewataka wanasiasa nchini kuacha tabia ya kupiga kelele katika majukwaa na badala yake wabadili maneno hayo kuwa vitendo katika kutatua...
Tumeshuhudia kuwa karume day ni siku ya viongozi wakuu kuvaa kanzu kufanya dua na kuwaalika viongozi wa madhehebu mengine kufanya ibada kama waalikwa.
Napendekeza Nyerere day ifanyike ibada ya...
Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival.
Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida na kushindwa kujizuia Mkuu wa wilaya ya Tanga Halima Dedengu amezichapa kavukavu kwenye mkutano wa ndani uliofanyika kata ya Nguvumali baada ya kutofautiana kauli...
Kama mimi mkatoliki ,niko angry na hypocrisy ya kanisa langu hasa kwenye sherehe kama za kuweka maaskofu.
Mfano huko Bukoba wamemwalika Bwana Mkapa kutoa hotuba.Huyu Bwana amefanya damage kubwa...
Ndugu zangu wanajamvi,
Kama kuna jambo ambalo nimebaini limewagusa wengi ni vifo vya ndugu zetu wawili waliobanwa na lori lililopata ajali kwenye barabara ya Morogoro - Chalinze. Jambo...
Vuai: Kuna mambo tumekubaliana ndani ya vikao vya juu vya chama yaondolewe katika orodha ya mambo ya Muungano
07/04/2013
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema Zanzibar itakuwa na nafasi ya...
Sunday, April 7, 2013
HITMA YA KARUME LEO CCM KISIWANDUI MJINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiungana na waumini wa dini...
Imeandikwa tarehe 05 Aprili 2013 By John Mhala, Nairobi
KIWANJA cha ekari tano kilicho eneo la Burka jijini Arusha kilichotolewa na Nyaga Mawalla kwa lengo la ujenzi wa hospitali ya mama na...