Thinking aloud: Je Lwakatare alitumwa na CCM?

Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,182
883
Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival.

Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa kiasi gani? Na hata kama ilikuwa kubwa kupindukia, je hakuna uwezekano kuwa fedha za kifisadi zimetumika kumlainisha?

Mwanzoni nilipoona ile video ya Lwakatare akili yangu ilielekea kwenye wazo moja tu kuwa ni hujuma za CCM. Sasa naangalia suala hilo kwa mtazamo tofauti kidogo.

What if Lwakatare alikuwa anafahamu kuwa anarekodiwa,na alikuwa anajua video hiyo itakavyoipa Chadema wakati mgumu?

So far,inaelezwa kuwa Lwakatare mwenyewe amekiri kuwa alisema baadhi ya maneno ktk video hiyo.Ni yapi aliyosema na yapi "aliyopandikiziwa"?

Yah,labda Ludovick alitumwa na Mwigulu afanye recording hiyo lakini what if Mwigulu,Ludovick na Lwakatare lao ni moja ktk ishu hiyo?

Tuweke ushabiki kando. Maelezo ya Tundu Lissu kuwa wamenasa mawasiliano kati ya Mwigulu na Ludovick hayajibu swali "KWANINI LWAKATARE ALIONGEA HAYO ALIYOONGEA (tunaambiwa amekiri baadhi ya maneno yaliyomo kwenye video ni yake)?

Pengine kama ilivyoshauriwa na Zitto ni vema Lwakatare akachunguzwa.

I stand to be corrected
 
Sintashangaa lakini na ZZK ni muhusika wa movie pia
 
Ametumwa na CDM ndio maana anatetewa kwa nguvu zote, CCM wamenunua dili kutoka kwa Ludo ( ndio maana hatetewi na CDM!)
 
Anything goes in war. Na kwa sasa Chadema ipo vitani dhidi ya CCM,with the latter fighting for survival.

Hivi kwa wanaoijua Chadema kiundani, allegience ya Lwakatare kwa chama hicho ilikuwa kubwa kiasi gani? Na hata kama ilikuwa kubwa kupindukia, je hakuna uwezekano kuwa fedha za kifisadi zimetumika kumlainisha?

Mwanzoni nilipoona ile video ya Lwakatare akili yangu ilielekea kwenye wazo moja tu kuwa ni hujuma za CCM. Sasa naangalia suala hilo kwa mtazamo tofauti kidogo.

What if Lwakatare alikuwa anafahamu kuwa anarekodiwa,na alikuwa anajua video hiyo itakavyoipa Chadema wakati mgumu?

So far,inaelezwa kuwa Lwakatare mwenyewe amekiri kuwa alisema baadhi ya maneno ktk video hiyo.Ni yapi aliyosema na yapi "aliyopandikiziwa"?

Yah,labda Ludovick alitumwa na Mwigulu afanye recording hiyo lakini what if Mwigulu,Ludovick na Lwakatare lao ni moja ktk ishu hiyo?

Tuweke ushabiki kando. Maelezo ya Tundu Lissu kuwa wamenasa mawasiliano kati ya Mwigulu na Ludovick hayajibu swali "KWANINI LWAKATARE ALIONGEA HAYO ALIYOONGEA (tunaambiwa amekiri baadhi ya maneno yaliyomo kwenye video ni yake)?

Pengine kama ilivyoshauriwa na Zitto ni vema Lwakatare akachunguzwa.

I stand to be corrected

na tunazo taarifa juu ya pesa chadema mnazotaka kumgonga lwakatare ili ageuze kibao kuwa alitumwa na ccm,siku zote usiombe Mungu akuumbue,fadhaha take huwa mbaya hivi chadema mnawateketeza watanzania mngali hamna madaraka nani atawapa nchi mashetani ninyi,angalia mateso mlompa tesha kijana wa Igunga,angalia mlivomuua yule kijana Moro,angalia ulimboka,,mtalipa gharama,I hv always spoken ths this is a free masonic party
 
Wanaokataa Lwakatare kuchunguzwa ni watu wanaojua kilichotokea...
Kitu kikubwa nasema kila siku viongozi wa chadema kama wanataka kushinda 2015 wawe na intelligence ya nguvu. Na intelligence lazima uiwekee mechanism ya kujichunguza wenyewe, yaani unakuwa na watu wanaowachunguza watu wa intelligence ya chama halafu pia unakuwa na source zaidi ya moja ya information ili ukipata information huku una verify na information kutoka source tofauti. Chadema msiwe vipofu mnamwamini sana Lwakatare mnadhani hawezi kuchonga deal, hapo mnajidanganya. Maoni ya zitto ni ya kumweka kando ili achunguzwe na chama ni muhimu. Pia kuna watu mnawaamini sana ndani ya Chama wakati tunawajua wametumwa na wapo ndani ya TISS. Kuna kijana mmoja namtaja kila hapa JF ambaye yeye kazi yake ametumwa kuleta mtafaruki kati ya Zitto na wale wanaomuunga mkono na upande wa akina Mbowe na Slaa ili Zitto akate tamaa ahamie NCCR. Sasa kama viongozi wa Chadema mkiendelea kuwa blind basi sisi hatuna la kufanya zaidi ya kuisahau ikulu
 
Kazi za ibilisi kabla Yesu hajaja ni maandamano kupitia vyama vya wafanyakazi,,nabii Ellen G white anaandika haya,,biblia inakataza maandamano,,hata waliomuua masihi,walitumia nguvu ya umma yaani maandamano,,ninyi mwasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,,,huu ni msemo wa kishetani na kiibilisi,,,sauti ya Mungu ni sauti ya Mungu,,,Mungu husema na watu wake kupitia mitume na manabii sip mapenzi ya umati yafanye Mungu aafiki ushetani wa siku za mwisho soma Kutoka;23:1-2.Mungu alishayalaani maamdamano shetani aliyatumia kwa kanisa jangwani kumburuga Musa
 
ianwezekana kaka, kumbuka wakaati inaanza..eti tunarekodi halafu lwakatare anaitikia eeh...ila naamini lissu anajua anachikifanya, tusubiri tu
 
mkuu ingekuwa lao moja basi lwakatare angesema mambo ya hatari zaidi kuliko vitu alivyoongea kwenye video.mkuu utake usitake video ile ni ya ccm
 
Alitumwa na ccm? Mbona hueleweki vizuri hapo. Nakukumbusha kuwa lwaka ni mkurugrnzi wa ulinzi na usalama wa chadema
 
Chadema inapaswa kutafakari sana ni wapi imejikwaa, kusingizia ccm ni kukosa mbinu za kupambana na adui
 
Kama lwakatare atakuwa ameshikishwa na ccm akaweza kufanya ivo kwa uaminifu mkubwa kiasi hicho basi ccm imefanikiwa sana ku penetrate ndani ya chadema
 
Mchawi mkubwa wa mgogoro ndani ya chadema ni kubinywa kwa demokrasia full stop
 
Ifike mahali siasa tuchukulie kama ni sehemu ya kupatia viogozi bora wa kutumikia wananchi na si blaaa blaa na biashara za watu kujipatia ajira na hela kwa maana ndo sababu siasa yetu imekuwa chafu na ya uhasa na uchu wa madaraka jamani Watanzania Wenzangu tuamke wenzetu wanashindana kwa kuteka Masoko ya Dunia sisi Tunashindana Kuua vyama vya Siasa na Wananchi
 
Back
Top Bottom