mropokaji sasa ameanza kuropoka mazito.
Hivi tunaamini kwamba hakuwezi kutokea mabadiriko ya kiungozi ambapo wanaotajwa watapoteza kila walichonacho?mabadiriko ya kiungozi yakitokea katika hali ya...
Watanzania ni kweli kuna mambo tunaweza tukabishana ila sio Upendo wa Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Wakulima wa nchi hii,
Hebu fikiria Rais Samia ameongeza dhamana ya mikopo ya TZS 355.3bn...
Mtakubaliana na Mimi kuokoa TZS 100bn kwa Kila Mwezi Pesa ambayo inaweza kujenga jumla ya madarasa 5,000 kwa kila Mwezi hili sio jambo la mzaha.
Kutoka TZS262bn hadi TZS166bn
Kabla Rais...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama...
==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni...
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani...
Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula
Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi...
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei...
DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni
Ifikapo mwaka 20250...
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku maana yake wanafunzi walikosa baadhi ya mahitaji yao muhimu ya siku.
Miaka Mitano...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa...
Kutokana na kuvunjika kwa CCM hebu tujikumbushe Maneno ya Mungu katika Kitabu cha Luka Mtakatifu, mlango ule wa 15 kwenye Mstari wa 7
Baada ya kusoma Tafakari hilo neno kwa kina
Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania.
“Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara...
Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu?
Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu?
==========================================
Akiwa anazungumza leo katika...
Inatubidi Kuung’oa Mzizi wa CCM ili Kuikomboa Tanganyika
1. Utangulizi
Kwa zaidi ya nusu karne, Tanganyika imekuwa mateka wa mfumo wa chama kimoja kilichovaa koti la demokrasia ya vyama vingi...
Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI...
Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI...