CUF & Mtatiro wawahadaa wana Tunduru

CUF & Mtatiro wawahadaa wana Tunduru

Ahmad Mtumbi

Senior Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
106
Reaction score
30
wanajamvi,wilaya ya Tunduru ambayo iliaminika kuwa ni ngome ya Chama cha CUF sasa mambo yamegeuka,hali hiyo imemlazimu naibu katibu mkuu wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika bwana Mtatiro ambae aliwasili hapa Tunduru tangu jana kwa operesheni vua gwanda vaa uzalendo alifanya hadaa kwa wana tunduru kwa kuwatangazia kwamba maalim seif na prof.lipumba wapo tunduru kwa ajili ya mkutano huo,na ktk hali ya kustaajabisha wakati akiendelea kuhutubia akatangaza kwamba yeye kama naibu katibu mkuu anawaahidi wana tunduru kwamba atawaleta maalim seif na prof lipumba siku za usoni.hali hiyo ilisababisha manung'uniko na baadhi ya wananchi kuamua kuondoka mkutanoni.
Source mimi mwenyewe nilikuwepo.
 
eti ''vua gwanda vaa uzalendo'',hawa ni wapinzani wa nani hasa?,ukiwasema ni CCM B wanakuja juu,wameshafilisika hadi lipumba anawakimbia
 
subir vilaza wenzio Cuf hawana slogan ya vua gwanda na vaa uzalendo
 
Kweli Cuf wanaipenda ccm yani wmeona wapambane na chadema!
 
halafu ndio mnasema vyama viungane kweli... hawa cuf.....
 
wanajamvi,wilaya ya Tunduru ambayo iliaminika kuwa ni ngome ya Chama cha CUF sasa mambo yamegeuka,hali hiyo imemlazimu naibu katibu mkuu wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika bwana Mtatiro ambae aliwasili hapa Tunduru tangu jana kwa operesheni vua gwanda vaa uzalendo alifanya hadaa kwa wana tunduru kwa kuwatangazia kwamba maalim seif na prof.lipumba wapo tunduru kwa ajili ya mkutano huo,na ktk hali ya kustaajabisha wakati akiendelea kuhutubia akatangaza kwamba yeye kama naibu katibu mkuu anawaahidi wana tunduru kwamba atawaleta maalim seif na prof lipumba siku za usoni.hali hiyo ilisababisha manung'uniko na baadhi ya wananchi kuamua kuondoka mkutanoni.
Source mimi mwenyewe nilikuwepo.

Ina Maana BARA wanaovutia Wananchi ni Maalim Seif na Prof. Lipumba? Oh Ndio maana hakuna mtafakuru wa UONGOZI
 
sinaimani na mleta mada. anaonekana kabisa katoka chooni bila kuchamba na nzi wakimgasgasi na kuja kutuwekea hapa kinyesi hapa. tuwe makini jamani tusijekuwashwa bure.
 
Matusi hapa si mahali pake kama huna la maana la kuandika basi katafute kwingine kwa kuandika upumbavu wako.
 
Mhh maskini... bora angewadanganya kwamba mkutano utahutubiwa na Nyerere maana nadhani wengi wao wanadhani Nyerere bado yuko hai na ndiye Prezidaa wa Tanzania!
 
wanajamvi,wilaya ya Tunduru ambayo iliaminika kuwa ni ngome ya Chama cha CUF sasa mambo yamegeuka,hali hiyo imemlazimu naibu katibu mkuu wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika bwana Mtatiro ambae aliwasili hapa Tunduru tangu jana kwa operesheni vua gwanda vaa uzalendo alifanya hadaa kwa wana tunduru kwa kuwatangazia kwamba maalim seif na prof.lipumba wapo tunduru kwa ajili ya mkutano huo,na ktk hali ya kustaajabisha wakati akiendelea kuhutubia akatangaza kwamba yeye kama naibu katibu mkuu anawaahidi wana tunduru kwamba atawaleta maalim seif na prof lipumba siku za usoni.hali hiyo ilisababisha manung'uniko na baadhi ya wananchi kuamua kuondoka mkutanoni.
Source mimi mwenyewe nilikuwepo.

Naomba nimrekebishe mtoa mada, anamaanisha Vision for Change (V4C)! Kampeni ya vua gwanda ni ya Nape na wenzake Mwampamba na Shonza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom