Spika na kivuli cha ccm.....

Spika na kivuli cha ccm.....

White hacker

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
7
Reaction score
0
.....kitendo cha spika wa bunge kuhalalisha adhabu ya wabunge wa chadema na kumuacha mbunge wao akiyetukana tusi lililowatukana pia wapiga kura wake kinadhihirisha jins gan huyu bb n kivuli cha cmm kwa kutokutenda haki.....
 
Huyu mama (Makinda) anafanya kazi aliyotumwa na CCM. Kiti kapewa na maelekezo ya jinsi ya kuinufaisha CCM nayo kakabidhiwa.Hapo afanyaje wakati ana uhakika na mafao yake baada ya kustaafu? Hadi ifike 2015wananchi tutaumia sana kwa malumbano ya waheshimiwa bungeni
 
Back
Top Bottom