Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama wewe ni binadamu na unapumua lakini mpaka dakika hii bado haujamuelewi ndugu.Humphrey polepole ambao Genge la wahuni wamembatiza jina jipya la Ndugu.mbiombio basi wewe utakua ni kilaza wa...
4 Reactions
6 Replies
397 Views
Meneja wa Huduma za Utangazaji katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari na watangazaji nchini kuzingatia sera za vyama vya siasa katika...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
It's a Joke like but in real sense Mwamba kaonyesha ana tamaa sana. Nawaza anataka nini huko mbona title yake ni kubwa kuliko hata Mbunge kwa level ya kiutendaji na kimaslahi pia. Je kuna access...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
GT Tusiwe wepesi wa kujizima data na kusahau wasukuma ni watu walionyooka na hawapendi janja janja sasa 2005 walimwamini sana KIKWETE tena kwa 💯 Lakini aliyoyatenda awamu yake ya kwanza ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Nauliza tu maana wako kimya sana au ndio yale yale ya Nccr mageuzi na Shujaa Magufuli 2020? Siasa ni sayansi 😂😂✔️
2 Reactions
6 Replies
320 Views
Friends and Our Enemies, Kila anaekuja hivi sasa mtaji wake umegeuka ni Tundu lisu,mara wengine utaskia utekaji... Wanakuja sasa na vitisho mara usipofanya hivi tutafanya hivi,mara kanisa...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7, 1. Hapendi Rushwa 2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe 3. Anafuata sheria 4. Hana Kona kona 5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake...
126 Reactions
356 Replies
25K Views
Japo tuna amriwa kutii Mamlaka zilizoko duniani kwani zinatokana na Mungu, lakini kwa hali ilivyo sasa wengi wetu tunaelekea kukufuru kwa kutaka kuonyesha kuwa Mamlaka hizi zinaongozwa na...
3 Reactions
5 Replies
717 Views
Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na...
45 Reactions
115 Replies
7K Views
Minara hii iwekwe kwenye bustani za kitaifa. Huko Mwanza, Dodoma, Dar na Arusha. Anachopigania Lissu sio kwa ajili ya tumbo lake ni kwa manufaa ya taifa zima la Tanganyika
8 Reactions
20 Replies
739 Views
Tundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri...
24 Reactions
152 Replies
13K Views
Wanabodi Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!. Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi...
27 Reactions
181 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Udhaifu wa taifa ni pale mnapotawaliwa badala ya kuongozwa. Alieleta karatasi ya kura ndio iamue na itupatie kiongozi hakumaanishi kura iheshimiwe kuliko wapiga kura. Mtawala anaweza kuamua...
2 Reactions
13 Replies
530 Views
Wasalaam. Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini...
1 Reactions
11 Replies
614 Views
Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe...
2 Reactions
18 Replies
557 Views
Kutokana na mwenendo wa mambo, kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kwanza kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu fulani walifchukua...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…