Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwasilisha risala ya wafanyakazi kwa niaba ya TUCTA,katibu mkuu Nichorous Mgaya amesema kuwa kumekuwepo ongezeko kubwa la tofauti ya maslai ya wafanyakazi wa kada mbalimbali nchini."Waajiliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
HATUA ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, kukanusha kupitia mitandao ya kijamii tukio la kunusurika kuuawa kwa bastola, Shida Salum, mama mzazi wa...
1 Reactions
89 Replies
6K Views
Hofu ilatanda ndani ya jeshi la polisi usalama wa taifa na kujulishwa RC kuwa itakuwaje jinsi ya kumpeleka G Lema mahakamani kwa makosa ya kutengeneza. Mwanasheria wa mkoa na wilaya ya Arusha...
29 Reactions
75 Replies
7K Views
Je, haya mabaraza yanajadili nini? Je, yatajikita kwenye hiyo draft ya Tume inayotoka wakati wowote kuanzia next week? Je, yatatunga draft nyingine zaidi ya ile ya tume kiasi kwamba itakaporudi...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Ndoto yangu ya kusadikika imekuwa inanisumbua kwa kiasi kikubwa sana na kusababisha nipachikwe majina mengi likiwamo la "The day Dreamer". NINGEPENDA JAPO KWA KIFUPI NIJARIBU KUWASHIRIKISHA...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Mh. Mbowe ametoa waraka huu kupitia TANURU LA FIKIRA la facebook. Ni maneno ya busara, lakini najiuliza. Hivi kwanini Mbowe na SLaa siku hizi wameikacha Jamiiforums, badala yake wanatumia...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Arusha Mambo inarusha moja kwa moja matangazo ya Sikukuu za Mei Mosi za nchi za Tanzania na Kenya na tutajitahidi uweze kusikiliza hotuma zote za Marais wa nchi Hizi, Uhuru Kenyata - Kenya na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUHUMA za matumizi mabaya ya fedha za Bunge na upendeleo kwa baadhi ya wabunge zimeanza kuiandama Ofisi ya Spika wa Bunge. Spika wa Bunge, Anne Makinda, ametajwa kwa jina kuhusika katika tuhuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Chama cha mapinduzi (Che Che Me) inahusika kwa kiasi kikubwa na vifo vya watoto wachanga na wengine wanaopata ulemavu unaotokana na magonjwa yanayozuilika kama kupooza na kifua kikuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA KUWA WALIOKO MADARAKANI WENGI WAO WAMEHARIBIWA NA RUSHWA NA KILA NAMNA YA UBAYA, MTU ANATAFUTWA WA KUFORMAT NCHI HII ILI VIRUSI WOTE WAFE NA IANZE UPYA.:whoo:
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Venezuela MPs in punch-up over disputed electionAdvertisement The mass brawl left several members of parliament with cuts and bruises Fistfights have broken out in Venezuela's parliament over...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, hii ni barua yangu ya kwanza kwako iwe ni ya wazi ama kificho. Nikiwa ni raia wa Tanzania ambaye sikuchagua kuzaliwa Tanzania kama vile ambavyo nawe ambavyo hukuchagua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je Nyerere alikua na Jina kubwa alipokua rais? kuwa na jina kubwa ndo kigezo.....kwanini hakuna vigezo maalum?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti KATIBA MPYA IZINGATIE USAWA NA HAKI KWA TABAKA LA WAFANYAKAZI. Hivi hii ndo kauli mbiu inayo paswa kutolewa na wafanyakazi au serikali?. wakati huohuo wafanyakazi wanalalamika mishahara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete ameshindwa kuwahudumia wafanyakazi akidai serikali haina hela wakati wezi na mafisadi amewakumbatia ambapo wanamiliki katika utajiri wao bageti km kumi za tanzania kisha anawachekea tazama...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
JIBU LA SWALI LA MBUNGE Nungwi na Mwandishi wetu, Dodoma MANAIBU waziri wawili walipishana katika majibu yao kuhusu fedha za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Nidhamu ya kazi, ni msingi, wa mafanikio mema kaziniee, viongoozii, na wafanyakaziii, lazima wote tuwe na nidhamu...." ..Migogorooo, na migongano, ya kazini ni ukosefu wa nidhamu
0 Reactions
0 Replies
907 Views
WEDNESDAY, MAY 01, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameelezea kushtushwa na kusikitishwa kwake na taarifa za kifo cha aliyekuwa Mweka Hazina wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri, ni kuwa wakati Kikwete anawania urais kwa mara ya kwanza, suala la makato ya kodi za mishahara kwa wafanyakazi lilikuwa limebebwa sana na vyama vya wafanyakazi...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Wakuu, Mwl Nyerere (Hayati) katika kipindi kilichorushwa na ITV usiku huu ameelezea kuwa TANU hakikuwa chama cha makaratasi wala chama cha ofisini bali kilikuwa ni chama cha barabarani na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…