Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
2 Reactions
248 Replies
19K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake...
91 Reactions
404 Replies
58K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo Leo, naanza kwa maneno ya nyimbo mbili za zamani za muziki wa dansi, wa kwanza ni wimbo Fukara Hapendeki ulioimbwa na mwanamuzi...
3 Reactions
20 Replies
615 Views
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote...
3 Reactions
16 Replies
920 Views
Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Closed
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa! Swali kwanini kwa kipindi hiki...
61 Reactions
395 Replies
144K Views
KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia...
1 Reactions
9 Replies
780 Views
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka watangazaji na waandishi wa habari nchini kuepuka kuonesha mitazamo yao binafsi au...
1 Reactions
5 Replies
327 Views
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Ubunge, Udiwani, Uwakilishi na Viti Maalum kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. 28/06 – 02/07/2025...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Luhaga Mpina atapewa kazi maalumu (kazi hiyo ni kuwahadaa watu kupitia ACT Wazalendo) 2. Luhaga mpina atakuwa mbunge wataifa (baada ya uchaguzi amepanga kumpa nafasi 1 kati ya zile 10 za rais...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Hii nchi haihitaji kutetewa kwa namna yeyote sisi bado tuna akili za kitwana !! Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na...
4 Reactions
30 Replies
848 Views
Kama unabisha Fanya Utafiti mdogo halafu lete mrejesho Mafisadi wote ni Watanganyika hata wale wenye asili ya Uponjoro ni Watanganyika watupu na nchi wanayoifisadi ni hii hii Tanganyika kule...
8 Reactions
23 Replies
750 Views
GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao. 1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi...
16 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo...
10 Reactions
72 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…