Kwanza natoa pole kwako Mheshimiwa Rais kwa majukumu mazito ya kuhakikisha amani, siasa safi na maendeleo ya kiuchumi yanapatikana Tanzania. Mheshimiwa...
Ni zaidi ya Miaka miwili sasa kama Sikosei tangu kuteuliwa kwa Katibu wa Sekretarieti kuu na Uenezi CCM ndugu NAPE NNAUYE!..Kua katibu wa Uenezi wa Chama kikubwa kama CCM na chenye kuongoza Dola...
Habari zenu.
kwa umuhimu wa kupashana habari Miongoni mwa watanzania.
Wizara imeona ni vema ikaweka hapa link ambayo itawawezesha kuipata moja kwa moja Rasimu ya sera ya gesi asilia kama...
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.
Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na...
Kwa mujibu wa ITV, Maalim Seif ataendelea kuwa mgombea wa CUFkwenye uchaguzi wa Rais wa 2015, hivi ndani ya CUF hakuna wengine wenyeuwezo wa kuwa wagombea ila ni hawa jamaa wawili tu; Seif na...
Salam WanaJF, nawatakia kheri ya siku ya Dominica.
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi wanachadema wa jiji la Dsm kujielekeza kata ya Mianzini iliyoko Mbagala Zakhem katika uchaguzi mdogo wa...
Nimemshuhudia Mbunge Mmoja wa CCM akihojiwa katika taarifa ya Habari saa 2 Star TV akisema Taarifa ya Mh. Sugu ni ya uongo kwani hakuna Mwandishi wa Habari aliyewahi kumwagiwa Tindikali ila ni...
Reporter in Tanzania
20 May 2013
Eliakim Maswi, Kenya, Nigeria, Sospeter Muhongo, Tanzania
The Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, has said the government will open bids...
Ndugu zanguni,
Nimesikitika sana kuona jinsi huyu Mchungaji Msigwa anavyowapotosha wana Iringa wenzangu kwa kuwachochea wakafanye vurugu pale mashine tatu karibu na stendi kuu ya Iringa...
Jana kumefanyika mkutano Mkubwa wa Chadema Ulioongozwa na Makamanda wa CDM Igunga wakiongozwa na Mwl. Kashindye pia walikuwepo Diwani Vicent Kamanga, Ndg Anuary, Katibu pamoja na Mwenyekiti wa...
Nawashangaa sana wakina Nape Nauye na Mzee kinana, kwa maana kila siku hawazungumzii mambo makubwa yanayowakumba wananchi chini ya uongozi wa CCM, badala yake wanazungumzia CHADEMA tu. CCM na...
MBUNGE MSIGWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE SASA , WANANCHI KIDUCHU WAFIKA MAHAKAMANI -LIVE
Baadhi ya wafuasi wachache wakielekea mahakamani kusubiri kesi ya mbunge wa jimbo...
Leo katika uwanja wa mpira wa miguu Basotu mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'.. Mheshiwa sana Dr. WILBROD PETER SLAA ataunguruma kama Simba wa Yuda saa sita mchana. Maandiz ya jukwaa yapo vizur na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mzee Ali Abdallah Kleist Sykes, mmoja wa waanzilishi 17 wa Chama cha...
Ukifuatilia mjadala wa bunge unaoendelea utagundua CCM ina wabunge wanne tu ambao wanawatendea haki wananchi waliowachagua na watanzania kwa ujumla.
Wabunge hao ni Alphaxard Kangi Lugora...
Hivi punde Juma Nkamia ametoa angalizo kuwa sheria ya habari inayotegemea kuwasilishwa bungeni kuwa imesumbuwa India,South Africa na huko kwa wakubwa.
Je naomba ufafanuzihuko kwa wakubwa ni wapi...
Rais wa nchi yetu mh Kikwete mara nyingi ahudhuriapo mikutano au hafla au misiba huona akiwekewa kiti kilekile na mpaka juzi jumapili ndani ya kanisa la Anglican kilikuwepo wakati benchi hilo...
WANA-Jamii....mfaham uhalisia wa siasa na wanasiasa Tanzania.Zifuatazo ni baadhi ya tabia za wanasiasa:
Kuwa wabinafsi
kuhimiza/na kupandikiza chuki miongoni mwa Jamii zetu
kupandikiza jazba...
watani zangu huniita mla mbwa kwakuwa natoka wilaya ya Mufindi, mji wa Mafinga mkoa wa Iringa. huwa nafarijika kwa sababu katika historia ya nchi hii huwezi ukaongea chochote bila kutaja mkoa wa...