Polisi wasema uongo kuhusu sms mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo aliyomtumia nimeongea na Lema.
Na akanipa simu yake nikasoma sms iliyotumwa na kuchukua namba na kutuma kwenye m pesa...
Akiongea na maelfu ya wananchi wa jiji la Arusha mbunge wa Arusha mjini(Godbless Lema) alifumua ufisadi wa halimashauri ya jiji la Arusha ya takribani bil 12 huku kwa mwaka wa tatu mfululizo...
Kuanzia miaka ya 1945 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia, Nchi ya Mexico ambayo inapakana na Marekani katika upande wake wa kusini, ilikubwa na hali mbaya ya uchumi na kusababisha maisha ya raia...
Mh rais Jakaya Kikwete na mh Lipumba na wanasiasa wanaokubalika Mtwara,ebu kwa mstakabali wa hali ilivyo hivi sasa tumieni kwa uchache japo masaa 24 tuu ya kurudisha amani ya kudumu Mtwara kwa...
Kwenye ukumbi wa mikutano ya CCM hasa ile ya CC na HALMASHAURI KUU kuna bango limewekwa mbele ya meza kuu ambayo hukaa viongozi wakuu likisomeka MIMI NANGATUKA LAKINI NAENDELEA KUAMINI KUWA...
mrema afanya mdahalo live na wananch huku akiwaeleza aliyofanya mpaka sasa ikiwemo barabara ya kawawa to marangu kilo mita 15 zimetimia. Pia soko la kimataifa njia panda.pia maji kirua kusini
Kuna Askari kakiri kua magari mawili ya maji ya kuwasha ndo yaliopelekwa Mtwara, pia kikosi toka DAR na MASASI ndio kinafanya mapigano na Wananchi. Kuhusi hali iliyoko huko pia ni tete kwa kauli...
Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma kwa kiasi kikubwa linajadili bajeti isiyo na maslahi yo yote kwa wananchi; ni bajeti ambayo inatakwimu na maelezo mengi ya kisanii.Mathalan, bajeti ya...
Wabunge wote wa Mtwara wameonesha mfano mbaya sana kwa kutoomba mwongozo kwa spika, ili kuahirisha shughuli za bunge na kujadili jambo la dharura la fujo zilizotokea mtwara baina ya polisi na...
Awali ya yote napenda kuwapa pole ndugu zangu,rafiki zangu na wananchi wenzangu katika mkoa wa Mtwara kwa madhira yanayowapata,naamini kila kitu kitakua katika hali ya kawaida.
Napenda sana mkoa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu...
Wanabodi.
Mwandishi wa habari wa gazeti la ----------- Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa...
Katika hali ya kushangaza na kustusha leo saa 9:00 mh.naibu wa waziri wa nishati na madini kawasilisha hati ya kusomwa hotuba ya nishati na madini.
"Lengo ni kuwapiga chenga wananchi wa pinga...
HOTUBA YA KIHISTORIA YA NISHATI NA MADINI 2013/14 HII HAPA. DOWNLOAD UISOME ZAIDI
http://ubuntuone.com/2EP8D9gb2isx4EJmM3DGDP
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER...
Mh.Mnyika kama utapita hapa nakushauri utoe hoja kwa spika jioni hii aamulu kamati ya nishati na madini waelekee mtwara jioni hii kwenda kuwasikiliza wananchi hasira zao zinazidi wanapoona...
Kesho, Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini itasomwa mjini Dodoma. Masikio ya wana-Mtwara yataelekezwa mjini Dodoma kusikia nini hasa Serikali inasema kuhusu gesi iliyopo mkoani humo. Wana-Mtwara...