Mtume (S.A.W) alisema:
"Nyinyi huleta mashauri yenu kwangu. Huenda mmoja wenu akawa na hoja yenye nguvu kuliko mwingine, nikamhukumia kwa mujibu wa nilivyosikia. Yeyote nitakayempa kitu cha haki...
Dkt. Samia Suluhu Hassan anaungana na waasisi wa fikra za Uafrika wa bara hili – akina Mwalimu Julius K. Nyerere, Kwame Nkrumah, Kenneth Kaunda, Nelson Mandela na wengine – kwa kuchora taswira ya...
Habarini wote.
Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo.
Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka...
Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za...
Tutaanza na Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kukutana uso kwa uso na Jaji wa Mahakama kuu Siku ya kesho
Na mbeleni kidogo tutapata kauli ya Jaji mwingine wa Tume ya Uchaguzi
Kwa sasa...
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale...
GT
Pengine watu huwa mnajiuliza ni kitu gani huwa kinalia kama funguo wakati lisu anajitetea mahakamani pale anapogonga meza.
Basi leo nawanyosha ni YESU mfufuka aliyewakomboa watu kwa damu yake...
Swali kwa wapinzani.
Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini?
Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini?
Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana.
Hakuna...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba, ametangaza kuwa atazungumza na vyombo vya habari siku ya kesho, tarehe 18 Agosti 2025
Katika taarifa yake kwa umma...
Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.
Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni...
Mtu mmoja pahala fulani amehoji kwanini Tanganyika yenye Watu million 60+ inashea madaraka na Zanzibar yenye Watu million 1+
Ndio Tunakumbushana wakati nchi hizi mbili zinaungana Uchumi wa...
Siku moja baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Ndala kumwandikia barua katibu Mkuu wa chama hicho akipinga...
Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na aliyekuwa kada wa CCM, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa iliyokuwa isikilizwe Agosti 14, sasa imesogezwa hadi Agosti 19, 2025.
Katika shauri hilo linalosikilizwa...
Amani iwe nanyi. Hii ni baraka ya kiroho na wito wa kuishi kwa mshikamano, upendo na haki. Yesu mwenyewe alisema: “Nawaachieni amani, nawapa amani yangu; si kama ulimwengu utoavyo, mimi...
Bado tunaweka Mambo Sawa!
Tunajua 4R zilishafeli! Lakini kujikwaa sio kuanguka.
Muda wa kuonyeshana nani mkubwa umeshaisha. Tumeshaona Mkubwa ni nani.
Sasa Watibeli tunasema ni muda wa mkubwa...
Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais.
Kama Kuna...
Hadi sasa kwa vigezo vyenye uhalisia Upinzani hauna nguvu, uwezo wala dalili za kuishinda CCM kwenye sanduku la kura labda wakubali kwa dhamira ya dhati kufanya mageuzi makubwa ndani ya vyama...