Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 9, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

  There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

  My take here:

  CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  ccm give me space am sick and tired of u!
   
 3. M

  Masauni JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumuombe Mungu sana maana CCM inataka kurudi madarakani kwa kutumia kila mbinu zikiwamo kuuwa. Lakini Mungu wa Wanyonge amesikia kilio chao na mafisadi siku zao zinahesabika.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Joshua ndo yule wa Emmanuel TV?
  Kama ndo yeye huwa napenda kuwatch TV yake bse anaonekana amekuja komboa watu wa mungu hasa katika maradhi yanayowasibu
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ni huyu jamaa ila nimejaribu kutafuta utbiri huo sijauona. Ni Sheikh Yahya type wa kipastor  [video]http://viewers.streamingfaith.com/viewer/viewerframes_parent.asp?b=&p=&networkID=3000570&WMP=1&WMPv=7&RPIE=1&RPNAV=0[/video]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli haya maneno ni ya Jushua kwa jinsi nilivyomwona kwa yote aliyotabiri bila kukosa hata nucta, basi ni hakika kabisa kwa asilimia mia upinzani Tanzania unashinda huu uchaguzi. Sasa kazi kwa Tanzania iliyobaki ni maombi ya kufunga na kuomba kwa bidii ili yule shetani ambaye ameshajiweka tayari kuvuruga utawala unaoletwa na watu na sasa ni dhahiri yupo tayari kumwaga damu za wasio hatia ashindwe. Kwa jina la dhamani kuu na la haki, jila la Yesu tutamwangusha adui.
   
 7. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa makini na utabiri wa huyu mtu. Kuna skendo zinamzunguka nyingi sana. Waliokuwa watumishi wake wakaribu na kujitenga naye walitoa the whole story jinsi alivyokuwa anawatumia kukusanya taarifa, then anatumia hizo taarifa kutolea utabiri.

  Kama huamini check kwenye youtube hii link.  Au unaweza kusearch title yake inaitwa deception of Age.

  Baada ya kuona hiyo ndio utaelewa kwamba politics, and religion have been closely linked na mizengwe sometimes. Iam not trying to talk about certainty, but iam just trying to say be aware pia na ujaribu kuchanganya na za kwako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nilifikiri sheikh Yahaya Hussein tu...kumbe hata wachungaji ni watabiri!!!???
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ndo tabu ya Nigeria huwa wanatabia ya kunyunyiza sana,kuna bro wangu anamzimia sana uyu jamaa.
  Ngoja nicheki iyo link
   
 10. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe hata wakiristo wanao shehe yahya wao!!!! Yaani muislamu akitabiri ni mtapeli lakini mkiristo akitabiri.....ni ufunuo au sio!!!

  chadema oyeeeeeeeeee!!!!
   
 11. m

  mosesk Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi siamini katika tabiri za namna hiyo, lakini pia inatupasa kuwatofautisha Shk. yahaya na Joshua hapa siyo suala la Ukiristo wala Uislam. Alichosema Shk. Yahaya ni kwamba atamuongezea majini Kikwete ili yamlinde? hapo ndiyo mjadala ukaibuka siyo uislam hapo.

  Huo ni ushirikina tena mchana peupe. Mbona mtoto wake mwenyewe Shk. yahaya anagombea Udiwani kwa tiketi ya CHADEMA kata ya Mzimuni?. Huyo Shk anzazuga tu anatafuta fedha za JK tu.
   
 12. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Source?
   
 13. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Uzuri wa hawa ni watumishi wa MUNGU wa kweli na huongozwa na Roho Mtakatifu katika neno la hekima na si kuongozwa na mapepo kama ilivyo kwa mashehe watumishi wa ibilisi.
   
 14. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Christianity worships a supernatural God. Prophecy is one aspect of Gods supernatural means of revealing things through the gifts of word of wisdom, word of knowledge and dicerning of the spirits. the word of wisdom is the supernatural ability to see in the future and discover what is the mind of God.

  How ever there is a supernatural devilish counterfeit gift used by sorcerer to do divination. This is called a familiar spirit. So it is impartant to know which spirit is talking. The bible warns us always to judge the prophecy and every spirits manifestation.
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Jamani mimi namuamini asilimia mia huyu TB Joshua. Kwa miaka miwili sasa nearly every sunday ninapokuwa home huwa naangalia live misa yao hat leo ntaangalia.

  Huyu jamaa anatabiri hata majanga ya asili, km mafuriko, matetemeko ya ardhi ile volcano ya iceland iliyoleta vumbi ulaya nzima alitabiri mwezi mzima kabla na ikatokea precisely na livyosema, anyway jpili iliyopita sikuangalia ile misa yote na hata re-broadcast yake ya J'tano niliangalia mwanzoni tu. Kama mchungaji huyu kasema jamani ndivyo itakavyokuwa, si unaona CCM wanaandaa jeshi?

  Kuamini au kutoamini ni imani yako coz hata yesu kuna watu walimpinga na wanaendelea kumpinga. Better is not good enough,the best is yet to come.
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  nazidi kupata hasira. Ccm ndio mmeamua kuuwa watoto wenu, baba na mama zenu kwa ? I hate you
   
 17. v

  valour Senior Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Je bendera ilipelekwa kuombewa?
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Huyu Joshua ndiyo yule T.B. Joshua au huyu ni mwingine.

  Kama ni yeye basi yawezekana yakawa hayo lakini JK kipindi chake cha pili ataona cha moto na atakuwa akizomewa na wananchi kila aendapo. Hatakuwa na uhalali wa kutawala hata chembe hiyo ni laana ya Mwneyezi Mungu.

  Hayo ndiyo matunda ya dhuluma. Kipindi cha kwanza pamoja na uchkachuaji uliomfikisha asilimia themanini bado alipigwa maew huko mbeya tuendako hali yake itakuwa mbaya zaidi ya hapo.
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mungu ana mpango mzuri na nchi yetu maana ameona inapotea ndo maana kaonyesha hayo yote
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani Bendera ya Tz iliombewa?
   
Loading...