Ndugu zangu,
Inasemwa, kuwa kwenye mafanikio ya mwanamme nyuma yake kuna mwanamke. Dhana hii ina walakini, maana, hata hapa, kwenye mafanikio ya mwanamme, tunaamua kwa makusudi kumweka...
Ndugu Wana JF:
Ahadi ni deni. Jana niliahidi kuwaletea sehemu ya Hotuba ya Obama kuhusu kutotembelea Kenya baada ya kuulizwa na Wakenya- Source ni WhiteHouse
KENYA MODERATOR: Thank you, South...
Dar es Salaam - Juni 29, 2013
Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na...
Series: Guardian Africa networkPrevious | Next | Index
As the US president visits the continent, experts analyse the changing relationship between America and Africa
James Wan for Think...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mfalme wa Swaziland, King Mswati katika hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa kwenye viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa waliohudhuria Mdahalo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM kimetowa misaada kwa waathirika wa bomu lililolipuka ktk mkutano wa chama hicho tar 15/06/2013 ktk viwanja vya Soweto kata ya Kaloleni Jijini Arusha...
Barazani kwa Ahmed Rajabu
Ahmed Rajab
Toleo la 300
26 Jun 2013
AZIZ Nesin alikuwa mwandishi mahiri Wakituruki aliyeiaga dunia 1995 akiwa na umri wa miaka 79...
Saturday, June 29, 2013 | 11:02 PM
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na...
Kwanza nadeclare interest mi ni mwanachama wa CHADEMA, ninasema hvyo kwa sababu vyama vyetu havina umoja wala havipo serious kuitoa CCM madarakani. Nmefuatilia sana hoja za wabunge wa upinzani...
Kuna taarifa kuwa kutokana na mipango ya CCM na Polisi kutaka kuhujumu uchaguzi wa Kata nne za Arusha Chama hicho kinaweza kuwatumia vijana wake makamanda kutoka mikoa mbalimbali kuimarisha ulinzi...
Viongozi wa ccm na wanachama wao hawaelewi nini tofauti kati ya matkio ya kisiasa na matukio ya kitamaduni tabia hii imewafanya watanzania walio wengi kutokufahamu nini tofauti ya matukio hayo...
:mad:Sasa ni wazi, CC ya CCM imeamua kuendeleza ubabe kwa kupinga uwezekano wa kuanzishwa serikali ya Tanganyika, Nilidhani wameridhia hiyo hoja maana Rasimu ilitakiwa iwe imepitiwa na wakulu na...
Kila nikiungalia muungano mwenzenu sipati jibu, kwa mfano Muungano unapingwa sana na Wazanzibar kuliko Watanganyika, lapili ni kuwa Viongozi wanaung'ang'ania sana! Kwa nini muungano uvunjike? Na...
na Shehe Semtawa
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema mkutano wa siri wa nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EA), uliofanyika nchini Uganda hauna...
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hulka ya Chama cha Magamba (CCM) kujaribu kuaminisha umma kwamba Tanzania kuna ugaidi unaofanywa na chama cha siasa.
Walijaribu kuhalalisha madai yao kwa kutumia...
Shughuli ya kuaga Kigoda cha Mwalimu iko live ITV kutoka Nkurumah Hall UDSM.
Mada kuu ni "utatanishi na ukimya katika rasimu ya katiba mpya".
wageni mashuhuri ni pamoja na prof...
Mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kingwangalla (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa CCM nchi za SADC, Kelvin Nyamori (katikati) na Mbunge
wa Kisesa, Luhanga Mpina, nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Wasalaam,
Katika miaka ya karibuni, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejipambanua kuwa chama cha upinzani chenye nguvu zaidi Tanzania. Hii imetokana na ukuaji wake wa kasi...
Amani imetoweka katika kijiji cha KAKOLA kilicho jilani na mgodi wa BULYANHULU.Sasa hivi ni mapigano kati ya police na wananzengo wa kijiji cha KAKOLA.Issue ni kwamba wananchi wamefunga barabara...