Tumekubaliana. CHADEMA na NCCR-M kuongoza Halmashauri ya Wilaya Uvinza ambapo CHADEMA yenye madiwani 7 itatoa Mwenyekiti, NCCR -M itatoa Makamu Mwenyekiti. CCM itaunda Kambi ya upinzani.
Hii Ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinatarajiwa kuongeza nguvu yake kisiasa kwa kuongoza Halmashauri mpya ya wilaya ya Uvinza inayotarajiwa kuanza kisheria 20 Julai,2013.Halmashauri hii iko...
Wakuu,
Ningependa kufahamu kuhusu kupitishwa kwa jina la Mtela Mwampamba ili aweze kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010?
Ningependa pia kufahamishwa...
Teknolojia ya marekani kuwaokoa JWTZ nchini CONGO. WAKATI hofu ikiwa imetanda kuhusu usalama wa askari wetu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wanaolinda amani katika nchi za Sudan Kaskazini na...
Katika vikao vya ndani CCM Iringa mjini.. Vimekuwa vikijidaliwa kuhusiana na namna watakavyo nyakua jimbo la irnga.. Kwa kuwa jimbo hilo lina historia ya kudumu miaka mitano tu kwa wapinzani, na...
Waziri mkuu aliejiuzulu kwa kashfa EDWARD NGOYAI LOWASSA,amekanusha kuwa hajaamishia siasa zake kzk nyumba za Ibada(MISIKITINI NA MAKANIASNI) amesema kua wale wote wanaozungumza hivyo ni wale...
Wadau, safari ya kupambana na ufisadi katika nchi hii ni ngumu sana. Leo kuanzia saa 5 hadi saa 8:30 mchana, Mhariri Mtendaji wa Jamhuri, Deo Balile, amehojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu habari...
CHADEMA wana oganaizesheni ya mafunzo ambayo mkurugenzi wake ni Benson Kigaila. nachotaka kujua je haya ni mafunzo ya darasani ama mafunzo ya namna gani hasa?. ni hilo tu linaloniumiza kichwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteremka kwenye ndege GF1 alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea...
Below is the ranking of African countries by the literacy rate. This entry includes a definition of literacy and Census Bureau percentages for the total population, males, and females. There are...
HATAMU ni tamu, walioshika hatamu wanaujua utamu na hawataki kamwe kuuachia, lakini wasiokuwepo madarakani nao wanapambana kushika hatamu labda pia wangependa huo utamu.
Sasa katika haya...
Ole Medeye umeamua kumuasi Mungu?
Na Msema Kweli
Si kawaida yangu; narudia tena; kunukuu maandiko takatifu katika kazi yangu hii isiyo rasmi, kwani sijaajiriwa kwayo ya uandishi. Lakini...
Wanabodi,
Napenda kuwasalimu wote mahali mlipo kwa kuwatakia amani mioyoni mwenu itokayo juu kwa Mungu wetu aliye hai.
Awali ya yote napenda kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa ulinzi alonipa...
Angalia hii hesabu ya mapato kutokana na wateja wa simu za mkononi kwa huduma ya SMS tu.
Chukulia kampuni ya mawasiliano yenye wateja 1000,000, kila mteja atume SMS 3 kwa shilingi 60 kila sms...
Kama ilivyo ada kwa serikali ya CCM kufumbia macho maslahi ya umma na kuwabeba wawekezaji huku raia wakiachwa na athari za uchimbaji madini Tanzania, UCHIMBAJI UNAOTARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI WA...
Habari za uhakika kutoka kwa kiongozi wa chama ngazi ya jimbo alieibiwa Tablet(Mircomax P560) siku ya tarehe 15/06/2013,siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa udiwani,zinasema kuwa Ipad hiyo...
Ukija majengo utadhani kuna machimbo ya madini jinsi kulivyo na vumbi na ndio kuna wananchi wengi, hakuna hata dalili za kuisha matatizo, hakuna hata kituo cha afya.
PASUA ndio utadhani haiko...
Awali niseme nimeishi na kufanya kazi sehemu hizo mpaka Feb 2012, Na mpaka mimi naondoka maeneo hayo hali ya miundo mbinu inatia huruma. Mfano kutoka Njia panda ya Mbande mpaka Kongwa wilayani ni...