kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,769
- 2,497
Kuna tetesi nimezipata muda mfupi uliopita kupitia makada wawili wa chadema hapa kijiweni kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara kwa ajili ya kufungua tawi lao la hapa mkolani siku ya jumanne trh 23 mwezi huu,,baada tu ya kutoa taarifa hizo baadhi ya wadau wakaanza kusema kwamba kwa jinsi mambo yalivyo LAZIMA mabomu yatarindima tu kwa kigezo cha kwamba kata hii iko chini ya diwani wa CCM na tayari wana-ccm wamejipanga kuhakikisha mkutano haufanyiki.. CHADEMA chukueni tahadhari mapema!