CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Gazeti la Nipashe la leo ukurasa wa 8 lina habari njema kwamba Mbunge wa Mbeya mjini Mr Two akishirikiana na Bw John Mwambingija wanaongoza operesheni maalum ya kuingiza wanachama wapya wa Chadema vijijini.Operesheni hiyo inajulikana kama TWANGA KOTEKOTE.Kikosi kazi hicho kimelitikisa jimbo la Rungwe linaloshikiliwa na Prof Mark Mwandosya na Chadema imezoa mamia ya wanachama,wengine wamejitoa CCM na kujiunga na Chadema.Jimbo la Rungwe lilikuwa linaonekana kama ngome kuu ya CCM lakini Chadema wamelitikisa vilivyo na baada ya ziara ya wapiganaji hao Vijana takriban wote wamekimbilia chadema.........
 
Safi sana na bado mpaka 2015 itakuwa kama tunasukuma mlevi kaburini vijana tuungane tuiondoe ccm iliyotuibia vya kutosha"we have been opressed a lot,threatened a lot and denied a lot now our time is now to fight for our freedom and constitutional rights"
 
Tupo pamoja mkuu, himiza vijana wasikate tamaa kwani ukombozi wa utumwa wa CCM uko mikononi mwao. Ipo siku mwanga wa Chama makini utalishinda giza totoro lilioletwa na CCM.
 
safii,ila ila si wanasema prof rais we mbeya na wana mbeya wana muheshm/kumwabudu nn kimetokea?! ila safi
 
Gazeti la Nipashe la leo ukurasa wa 8 lina habari njema kwamba Mbunge wa Mbeya mjini Mr Two akishirikiana na Bw John Mwambingija wanaongoza operesheni maalum ya kuingiza wanachama wapya wa Chadema vijijini.Operesheni hiyo inajulikana kama TWANGA KOTEKOTE.Kikosi kazi hicho kimelitikisa jimbo la Rungwe linaloshikiliwa na Prof Mark Mwandosya na Chadema imezoa mamia ya wanachama,wengine wamejitoa CCM na kujiunga na Chadema.Jimbo la Rungwe lilikuwa linaonekana kama ngome kuu ya CCM lakini Chadema wamelitikisa vilivyo na baada ya ziara ya wapiganaji hao Vijana takriban wote wamekimbilia chadema.........

]Kwa kweli vijana tumechoshwa na CCM, hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke!!!! Makamanda tupo wote, tupo mitaani na sisi tunafanya usafi mpaka kieleweke.
Tunajua CHADEMA sio chama cha majungu ni chama cha kupiga kazi na tunatarajia mabadiliko.:israel:
 
Nimeipenda hii...Twanga mpaka kijijini kwangu Bujugo,hupo juu sana 2Proud a.k.a Mr2
 
Hiyo ni twanga ya kiukweli, Nimeipenda. Hii ndio itakayovunja ufalme wa che che me kabla hata ya 2015.

Long live CDM
 
Hiyo ni aluta continua hadi 2015
vijingome vyote mbona vitabomoka tu vyenyewe? watu wamechoka bado mitaa ya pale Ileje ambako msaliti kibona kajifanya kujiunga CCM wakati alikuwa wao tu tangu mwanzo. Kutoka Mbeya, hadi kuongeza majiombo ya Iringa pale kwa Ngumbalo anaejiita Jah people. We mbunge gani mswada unasomwa ye hata hajui nini kimo ndani kisa English not reachable kabisa.
 
Pamoja sn jamani Mungu ibariki Chadema,pia Mungu wabariki na Watanzania wooooote
 
Gazeti la Nipashe la leo ukurasa wa 8 lina habari njema kwamba Mbunge wa Mbeya mjini Mr Two akishirikiana na Bw John Mwambingija wanaongoza operesheni maalum ya kuingiza wanachama wapya wa Chadema vijijini.Operesheni hiyo inajulikana kama TWANGA KOTEKOTE.Kikosi kazi hicho kimelitikisa jimbo la Rungwe linaloshikiliwa na Prof Mark Mwandosya na Chadema imezoa mamia ya wanachama,wengine wamejitoa CCM na kujiunga na Chadema.Jimbo la Rungwe lilikuwa linaonekana kama ngome kuu ya CCM lakini Chadema wamelitikisa vilivyo na baada ya ziara ya wapiganaji hao Vijana takriban wote wamekimbilia chadema.........

Hongereni Vijana wa Kazi ...Chapeni Kazi
 
Kwa jioni tulivu kama hii kupata habari nzuri kama hii ya TWANGA KOTEKOTE inanifanya nikifika nyumbani nijiachie na glass ya mvinyo kuanza kusherehekea mafanikio ya chadema katika kumkomboa mtz na fikra zake. Kazi kwao wazee wa kujivua gamba watajivua mpaka mioyo na roho zao
 
Tupo pamoja mkuu, himiza vijana wasikate tamaa kwani ukombozi wa utumwa wa CCM uko mikononi mwao. Ipo siku mwanga wa Chama makini utalishinda giza totoro lilioletwa na CCM.

Hakika ukombozi umikononi mwa vijana wa tz!! Pplz powerrrrrrr!!!!
 
Nimeipenda hilo neno twanga Kotekote linaendana na umri wa vijana,wakati wanavua magamba sisi tuna TWANGA KOTEKOTE.BIG UP MR 2 .
 
Back
Top Bottom