Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,474
- 530
Nasikitika sana ninapoona senior minister kama wa finance anapokosa confidence na kujiamini kusimamia kile anachokiamini. Budget yake imefumuliwafumuliwa hata haijulikani kama itatekelezeka.
Nirejee kwenye tozo ya sim kadi. Kama unaamini italeta mabadiliko chanya unaogopa nini kukomaa? na kama unaogopa kukosa kura au haya makelele ya sasa hv je hukuproject hii situation na njia za kukabiliana nayo? serikali ina mamlaka mkuu.! au tatizo ni MORAL AUTHORITY ambayo imeathiriwa na matumizi mabaya? au ndo umeshtuka au huenda umeona aibu kuwa hata mjomba wako ambae ni maskini atalipia wakati we tajiri hutachangia hata sh. kumi?
Ushauri wangu maadam hukushirikisha au niite kulobby vizuri ushupavu wako ni kusimama kwenye maamuzi yako.
Kura ni miaka mitano tu, Tanzania bora hata mjukuu wako anaisubiri. vinginevyo nategemea budget hii kutekelezeka kwa less than 40% au vinginevyo nchi iongeze madeni. Kama itaendelea hv nashauri budget ijayo watendaji wako wakaiandalie bungeni ili walau tujue tunatengeneza budget juu ya mipango tuliyoipanga sio mbunge anasema futa hii weka hii watu ndiooo! Leading is confidence n authority emerging from talents, knowledge, integrity, trust.... kama havipo hata kumfukuza kuku anaekula mahindi itakuwa ngumu.
Rais kasaini finance bill june 30, hata mwezi bado mnataka kufuta, huu ndo uongozi gani, kwanini muwe bendera, kwani hakuna wachambuzi wa kujua impacts? Ningekuwa Rais either ningekataa kusign ile bill au sasa ningegoma kuifuta. mawazo binafsi tu wanajamvi