Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Few things are easier than telling a lie, and few things are harder than spotting one when it is told to us. We have been trying to suss out liars ever since Cain fibbed to God about murdering...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tokea kuzinduliwa kwa mchakato wa kujadili Rasimu mpya ya Katiba kupitia mabaraza, hoja kubwa inayochukuwa nafasi ni Muundo wa serikali. Hili linatokana na misimamo inayotolewa na vyama viwili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Mwibara, Mh. Kangi Lugola ametaka mkuu wa Tume ya kudhibiti madawa ya kulevya bwana Christopher Shekiondo awajibishwe kwa kushindwa kuwakamata vigogo wanaofanya biashara ya madawa ya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Serikali yeyote duniani hutengeneza nchi na raia wanaofanana na asili ya serikali yenyewe. Serikali isiyo na nidhamu itatengeneza raia wasio na nidhamu. Na kinyume chake ni sahihi. Kwahiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha baraza la katiba wilaya ya Singida wakinyanyua mikono juu kuomba nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu uboreshaji wa uundwaji wa katiba mpya. (Picha zote na Nathaniel...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bukoba. Rais Jakaya Kikwete amewaagiza Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Balozi Khamis Kagasheki na Meya wa Manispaa hiyo, Anatory Aman kumaliza mara moja mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepita kwa kasi kidogo maeneo ya Tabata na nimekuta hawa watu wana mkutano hapa kwenye ukumbi wa Nyantare. Kama sijamfananisha,naweza kusema nimemuona bwana Ramadhani Madabida ambaye ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mhimu saana ndugu zangu kufahamu umuhimu na ubora wa amani na mshikamano wetu,hivyo nami leo naomba tujadili kwa kina nini kifanyike kudumisha, AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU. Kwangu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni mwanachama wa chadema katika jimbo mojawapo la mkoa wa dar.Niligombea nafasi mojawapo ya juu ndani ya chama lakini mizengwe ilitokea, na nikawa nafasi ya tatu.Ila nilichofanyiwa ndo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za siku ya leo wanajamvi.... Najua kuna wale watakaosema kuwa nimewaonea kuwekapicha leo Jumapili kwa kuwa pale Lumumba Computer Room pamefungwa hivyo hawawezi ku-access internet pia...
13 Reactions
108 Replies
11K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Muungano wa serikali mbili za sasa unatumia gharama kubwa kuliko serikali tatu zinazopendekezwa karika rasimu ya Katiba Mpya. Kimesema hoja ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Midahalo ni standard on its own.Tasisi yoyote inayoshindwa jifua ktk eneo hili basi inakuw amfu ktk fikra na mahcguo ya wanajamii hiyo.Na maranyingi inakwenda mbalia zaidi hadi ktk taswira ya...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakipingi kuwepo kwa kipengele cha maadili ya viongozi ndani ya Katiba Mpya na kwamba kinapendekeza itungwe sheria itakayosimamia kifungu hicho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimejaribu kutafakari nakuona mwelekeo wa mchakato wa mabaraza ya katiba unaoendelea, kuna daili mbaya ambayo wananchi wengi wamepandikizwa hisia na maoni ya wanasiasa hali hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ikiwa ni siku ambayo mchakato wa mabaraza ya kujadili Rasimu ya Katiba mpya unaendelea nchini, leo ni zamu ya Manispaa ya Bukoba ambapo kituo ni Rugambwa Sekondari. Chakushangaza ni hali ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajumuiya ya JF. Baada ya salamu zangu kwenu ni swali ambalo huwa najiuliza kila siku je nikweli baada ya mapinduzi ya zanzibar ya 12 JAN 1964 na 26 April 1964 TUKAPATA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi kwako; Wasomi waliosoma na kukombolewa ni msaada kwa taifa lolote duniani hata wabaya wa taifa huonekana wazi kitendo ambacho kwa akina mimi na ....! sio rahisi. Jionee yaliyojiri. MDAHALO...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama mapendekezo yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba ya kutaka kuwa na bunge la Muungano na kila mkoa wa Tanzania kutoa wabunge wawili kwa uwiano wa mmoja mwanamke na mmoja Mwanaume yatapita, CHADEMA...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama barabara za mtaani achana ambazo ni za vumbi ... Anayetakiwa kuzifatilia zinatengenezwa ni nani Mbunge au Diwani? Au ndio hawa wenyeviti wa mitaa wasiojua wanalofanya ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda Heche, Mtatiro nk sasa wako live ITV...wait for updates... Updates.... Ofisi ya msajiri wa siasa amekiri kuona katiba za vyama vya siasa zikiwa pia na vikundi vya ulinzi katika...
5 Reactions
199 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…