Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- Wiki nzima hii nipo Mkoa wa Mbeya tayari nimeenda Wilaya 5 za mkoa huu, nimeshangazwa sana na jinsi hili Taifa ambavyo tumeshindwa kuitumia Ardhi ya mkoa huu kwa faida ya Taifa. I mean ni mkoa...
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Wanabodi, Nadhani mnakumbuka vizuri namna ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CCM-Taifa alijitapa kusafisha chama hicho kinachonuka rushwa. Mzee Mangula alitoa...
3 Reactions
154 Replies
12K Views
SERIKALI imesema kuwa wananchi wanaotoka katika kaya maskini wataanza kunufaika na fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) awamu ya tatu ili waondokane na umaskini uliokithiri. Hayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kawaida watu makini hawaongozwi na Ubinafsi katika kujadili masuala mbalimbali muhimu ya kitaifa. Hawasukumwi na Umimi, ukabila, ukanda na Udini katika kutoa michango na maoni katika ujenzi...
0 Reactions
240 Replies
18K Views
MWAKA 1995, wakati Watanzania wakiwa kwenye mchakato wa kufanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini, ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kama kawaida yao...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta , amesema, “ baadhi ya wabunge wa CCM Wakienda bungeni hawachangii lolote, hawaonekani Majimboni mwao, Wanabebwa na Chama, hawa ni mzigo”...
2 Reactions
136 Replies
12K Views
  • Closed
Zanzibar. Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitaka Serikali kumtiambaroni na kumchukulia hatua za kisheria Sheikh Ponda Issa Ponda kwa madai ya kukichafua chama hicho na kuhatarisha amani...
1 Reactions
105 Replies
9K Views
Khor Abeche — The UN says the identity of the armed group that ambushed a Unamid patrol in South Darfur on Saturday morning "has not yet been established," however witnesses have told Radio...
6 Reactions
81 Replies
11K Views
J K Nyerere, Alama kubwa ambayo tunaweza kumkumbuka ni uhuru wa Tanganyika, yeye ndiye aliyepigania uhuru na kuwezesha kuwa na Tanganyika huru R M Kawawa, mabadiriko kama Azimio la Arusha...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Ktika siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la polisi wetu kujiingiza katika vitendo vya magendo na biashara haramu. Hii imeleta taharuki katika jamii yetu kiasi cha kujiona kuwa kila...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayejua tafadhali, hii taasisi iliyoko chini ya ukurugenzi wa mzee butiku bado iko hai? Au taasisi za wakubwa wengine zimei-overshadow??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Marais wote waliopita na huyu wa sasa wa Tanzania, kwa viwango tofauti, wamepata pongezi na lawama juu ya utendaji wao. Rais Kikwete ni miongoni mwa marais wanaolaumiwa au kupongezwa kwa yale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haiingii akilini mwangu hata dakika moja kuwa hiindiyo ile Tanzania tuliyoitafuta usiku na mchana!! Mwalimu pamoja nasi tukitembe nyumba hadi nyumba kuamsha akili ya watanzania ili tuisimamie na...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
wana jamii forum Ningependa maoni yenu ni mfumo gani wa siasa hapa Tanzania utaweza kutumika ambao ungeweza kujenga msingi mzuri wa utoaji wa huduma za muhimu kama maji, umeme, elimu na afya? kwa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Mara nyingi ukifuatilia kwa undani upeo wa watanzania wengi, tumekuwa na tabia ya kukurupuka tu na kurukia mambo bila ya kufanya tafakuri ya kina. Kabla ya mchakato unaoendelea wa kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
TUKIO la wasichana wawili wa Tanzania waliokamatwa na dawa za kulevya Afrika Kusini, limechukua sura mpya baada ya kujulikana kwamba, siku ambayo watuhumiwa hao walisafiri kupitia Uwanja wa Ndege...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Ukiangalia mtiririko wa mambo ndani ya CCM utagundua kuwa hamna uibuaji wa hoja mpya katika chama zaidi ya kulithi ideals za magwiji wake wa zamani. Kuna kitu cha msingi kinakosekana ndani ya CCM...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
WanaJF. Wakoloni walianza kutugawa kwa kutuchanja mwilini kwa kuweka alama Kwa kila kabila hapa Tanzania ili watujue kwa makabila yetu hata tukikimbia na Kutorekea ulaya unakamatwa na kurudishwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao...
0 Reactions
74 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…