Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 224
WanaJF.
Wakoloni walianza kutugawa kwa kutuchanja mwilini kwa kuweka alama
Kwa kila kabila hapa Tanzania ili watujue kwa makabila yetu hata tukikimbia na
Kutorekea ulaya unakamatwa na kurudishwa ulikotoka.
Kwa mfano
1.Wamakonde (Mtwara)-walichanwa uso mzima na kutobolewa pua
2.Wamasai(Arusha)-Walitobolewa masikio na kuamrishwa kusuka nywele
3.wagogo(Dodoma)-Waliwekwa alama kwenye kipaji cha uso
4.Wanyalukolo(Iringa)-Walipewa alama ya chale mbili kwenye paji la uso
5 .
6
Ongeza alama zingine hapa .