Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265

Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.
 
Je unayataka macho yako, kucha na meno? Wewe endelea tu kumsema muheshimiwaaaaaaaaa wetu wakati alishinda kwa kishindo. Au wewe ni mtu wa MAGWANDA
Tafakariiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sembe imewapa ajira vijana wa lumumba.wote ni waajiriwa wa IDD AZAN!teh teh!
 
Je unayataka macho yako, kucha na meno? Wewe endelea tu kumsema muheshimiwaaaaaaaaa wetu wakati alishinda kwa kishindo. Au wewe ni mtu wa MAGWANDA
Tafakariiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lol...nchi imekwisha. Macho, kucha, na meno ni masuala ya Green guards. Hawa vijana ni wajinga na hawana mtazamo maishani wao kazi kunyanyasa wananchi kwa tindikali, kuchoma pumbu za watu moto wa jiwe/panga, kutoboatoboa uume wa watu na sindano za acupuncture (zile za kichina) huku wakikuimbia nyimbo za CCM.
 
Tulikofikia, Ni vyema kama nimekalia tawi na nashindwa kulikata mwenyewe basi ni kuwaruhusu wenzangu walikate tawi hilo. Uhai binafsi kama bado ulikuwepo utaendelea kuwepo tu.

Mtandao wa siasa ni kama mahusiano ya mtu na shetani..ukishaingia ni ngumu kutoka..maana unakuwa tayari umechafuka dhambi.
 
Nyoka aume mkia wake mwenyewe? Thubutu!!!

Kwa nini sisi watazamaji tunaochafuliwa tusiukate huo mkia? Na hata tukishindwa kuukata basi tumbainishe huyo nyoka ili kila mmoja amjue na isiwe fumbo kama ilivyo sasa.
 
Tanzania imebadilika. Kila watanzania wamechafuka kimataifa. Kila wanapobeba paspoti ya Tanzania wanaonekana wauza unga. Nakumbuka Rais, umewahi kutamka hadharani kwamba unayo majina ya wauza madawa ya kulevya lakini kwa bahati mbaya uliamua kuwa kimya. Rais, Kikwete, kwenye kampeni ya Chama Chetu, 2010, hawa wauza unga kwa kiwango kikubwa walichangia kampeni zetu na kutupatia ushindi mkubwa. Licha ya kwamba walitusaidia, mheshimiwa rais, madhara wanayoleta katika taifa hili ni makubwa kiasi kwamba hauwezi tena kuyafumbia macho. Wauza madawa ya kulevya wanakuwa na nguvu za ajabu ndani yah ii nchi. Wanamiliki majumba makubwa humu nchini. Biashara nyingi na kubwa ni zao. Kila sehemu kwenye uchumi wetu wamo. Ni bora ukachukua hatua na kuwashugulikia kisheria kabla hawajaliyumbisha taifa.

ni kumpigiaa gitaa mbuzi ukitegemea atacheza. Yaani tumekwisha Tanzania kuwa nchi ya mazezeta
 
Tulikofikia, Ni vyema kama nimekalia tawi na nashindwa kulikata mwenyewe basi ni kuwaruhusu wenzangu walikate tawi hilo. Uhai binafsi kama bado ulikuwepo utaendelea kuwepo tu.
Mtoto wa mkulima aliwahi kusema bungeni eti mafisadi wakikamatwa nchi itayumba!!! Inawezekana ikawa kweli maana mtu kama Chenge aliyekiri kumiliki fedha huko Caymans Island millions of USD $, SASA hivi ni mwenyekiti wa kamati nyeti ya bunge letu tukufu!!! Mzee wa vijisenti, TANZANIA ISISILE!!!
 
Back
Top Bottom