willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,086
- 1,335
Ni kweli ccm imekufa wana jf sasa hivi kuna makundi matatu na sio mawili kama zamani kuna kundi la LOWASA ambalo ni wanaccm wenye pesa nyingi,mafisadi,magaidi na majambazi walio kubuu.kundi la SITTA ambalo ni wanaccm wanao mpinga lowasa na watu wake na wakoteyari kumpa upinzani uraisi kuliko lowasa.kundi la membe ambalo halina nguvu ya kupinga mahasimu wawili LOWASA VS SITTA nalo linataka uraisi lakini halina pesa kama sitta na lowasa hivo ni ndoto kwao kumsimamisha membe.