UK MPs: Don't send aid to "Bongo bongo" land

UK MPs: Don't send aid to "Bongo bongo" land

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,463
Naona wametuchoka sasa... wabunge kutoka UK independent party wanasema serikali ya nchi hiyo isitishe mara moja kupeleka misaada ulimwengu wa tatu "Bongo bongo land". Wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo watawala wanatumia kunulia magari ya kifahari, nyumba za kifahari nje ya nchi hasa ufaransa na hata muda mwingine kununulia miwani (ray ban sunglasses)



Comments za wachangiaji:

>>>This man has only said what most of us feel about the international aid, and if more knew how much is wasted and ends up in the land of Cuckoo Clocks and the accounts of dictators the process would have to end.

Even if you do not agree with this man at least he had not apologised (unless you include an apology to Bongo-Bongo Land), and that does mean we have a politician who is not finding a pathological need to grovel and crawl and be a toady towards the Guardianister.

I heard this man on BBC Radio 4 and like it or not he has found the guts to discuss an issue which his fellow politicians crawl away from. He is a real man and not a bit of parliamentary straw which blows in the prevailing wind of political correctness while appeasing the New Statesman readers.

However, let us all hope that more politicians learn from this man and they all learn to speak their own minds but the minds of the electorate who they have forgotten.

Incidentally, the term Bongo-Bongo Land was used by the late Alan Clark a Conservative MP who during the Thatcher period was suggesting a method of dealing with those of dubious immigration status but years later we have not yet sent those of dubious status back to Bongo-Bongo Land but thanks to people like Godfrey Bloom we can at last discuss this without being called racist by our Liberal-Elite





 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wa UKIP wamepata ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hivi karibuni Nchini uiningereza, vyama vikubwa vitatu (Conservative, Labor na Lib dem) wameshtushwa na jinsi UKIP inavyoanza kuungwa mkono, ni vema Nchi za kiafrika zikaanza kutafakari kujitegemea , misaada lazima itapungua kama hiyo ndio reflection ya wazungu kwa sasa juu ya BONGO LAND.
 
duh, si JK alimwambia Obama kuwa 'nikisema inatosha hamtatupatia tena' sasa mbona wanatugeuka tena!?
 
Hawa jamaa wa UKIP wamepata ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hivi karibuni Nchini uiningereza, vyama vikubwa vitatu (Conservative, Labor na Lib dem) wameshtushwa na jinsi UKIP inavyoanza kuungwa mkono, ni vema Nchi za kiafrika zikaanza kutafakari kujitegemea , misaada lazima itapungua kama hiyo ndio reflection ya wazungu kwa sasa juu ya BONGO LAND.
watunyime hakuna shida. sisi tuwabane kwenye rasilimali zetu
 
duh, si jk alimwambia Obama kuwa 'nikisema inatosha hamtatupatia tena' sasa mbona wanatugeuka tena!?

itabidi kumtumia hii video JK ili aone jamaa sio kwamba wanapenda kutoa, anawabana sana sasa wameanza kutuita majina hahaha
 
Huyu bwana atakuwa ashawahi kuishi bongo na Kiswahili anakijua. Amejuaje uhuni wa wanasiasa kuwa ni "bongo, bongo land"? Hata hivyo yuko sahihi na watanzania wengi tunamuunga mkono. Kujitegemea ni uhuru.
 
Anamaanisha Gabon jamani, Rais Bongo wa Kwanza na mtoto Bongo wa Piil wapo madarakani kwa miaka 60 sasa. Na ni mabilionea ulimwenguni hasa Ufaranza Wana mahekalu ya maana
 
BBC News - The other meaning of Bongoland

Someni hiyo habari hapa tofauti na thread ilivyo ripotiwa! Bongo bongo land ni kuhusu wahamiaji zaidi! Moderators nashauri muwe mna angalia hizi thread zinazo letwa JF lasivyo itakua sehemu ya kupeana ujinga na kupotoshana! Nashauri mods
 
Huyu bwana atakuwa ashawahi kuishi bongo na Kiswahili anakijua. Amejuaje uhuni wa wanasiasa kuwa ni "bongo, bongo land"? Hata hivyo yuko sahihi na watanzania wengi tunamuunga mkono. Kujitegemea ni uhuru.

http://www.bbc.co.uk/news/blogs-magazine-monitor-23600129
 
Back
Top Bottom