Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuhusu wito wako kwa watanzania kujiunga na mapambano yako dhidi ya Samia pamoja na unaloliita kundi la mtandao, Achebe anasimulia: “Its too late, said Obierika sadly. The white man has put a...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kwa yanayotokea Zanzibar kupuuzwa na wengi wa Watanganyika mpaka uovu uanze kuwafika ndio huanza kulalamika. Hayo maovu yote yanayotokea Tanganyika hivi sasa kwa Zanzibar...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona hii kitu nimesikitika sana. ... ila TZ Inawenyewe.. kabla ya kampeni au baada atadondoka mtu
1 Reactions
6 Replies
702 Views
Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya...
1 Reactions
2 Replies
391 Views
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Mwenyekiti chama mkoa wa Tabora Anatory Katabwa ameeleza sababu za mgombea wao wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Tabora mjini Ally Kahegi kushindwa kurejesha fomu ambapo amefafanua kwamba mgombea huyo...
2 Reactions
15 Replies
677 Views
Kwa mujibu wa jarida maarufu la Nchini Nigeria la NairaMetrics ni kwamba Tanzania,Morocco & South Africa ndio Nchi pekee ambazo zimetoa viwanja 2 vya Ndege vilivyo Busy (kuwa na Miruko Mingi au...
3 Reactions
12 Replies
708 Views
Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana...
7 Reactions
78 Replies
4K Views
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutupwa katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara amejitokeza na kusema alikuwa na ndoto ya...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika. Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo...
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania Wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini Singapore wameonesha nia ya kuongeza uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara na Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
441 Views
Kumuua binadamu mwenzio asiye na hatia Kisha kumtia kwenye kiroba na kumtupa Ili umma ujue ,inalenga kuwatisha wananchi waone kwamba ninyi ni wa kuogopeka. Ninasema waliouwawa ni wasio na hatia...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania kufahamu kuwa ulinzi wa pesa zao chini ya Rais Samia hauna kifani kwakuwa kipimo pekee...
35 Reactions
279 Replies
10K Views
Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais. ========== WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi...
30 Reactions
150 Replies
11K Views
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala...
14 Reactions
152 Replies
8K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Nawapa pole ndugu wa Ben Saanane hususan Baba yake mpendwa, Focus Saanane na mdogo wake Erasto Saanane ambao kwa zaidi ya wiki sasa wanahangaika kumtafuta mpendwa wao...
18 Reactions
272 Replies
36K Views
Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Back
Top Bottom