Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi Kama kichwa cha uzi kinavyosema Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani???? Ni kipi...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni hapo nchi jirani kwa akina Edwin Sifuna na Babu Owino Vijana wa Tanzania wamelelewa kuishi vizuri na wazee Credit Citizen tv
1 Reactions
4 Replies
334 Views
Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu. Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ? Au wakifunga vipi ? Au ilikuwa...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon , 🔜 ogopa mtu anaumia Lakin...
68 Reactions
195 Replies
19K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa...
5 Reactions
80 Replies
4K Views
Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele. Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
4 Reactions
16 Replies
839 Views
Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e...
1 Reactions
3 Replies
568 Views
Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa...
3 Reactions
13 Replies
889 Views
Ukichambua vizuri kile kinachoitwa Ilani na sera za CCM 2025-2030. Utakuja na jibu moja tu kwamba, waandaji wamechomoa chomoa kwenye Ilani na sera zilizotumika zamani, wakaunda kakijitabu haka...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu...
15 Reactions
73 Replies
4K Views
Ni baada ya account hiyo ya serikali ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM ambapo asilimia 99 za comments ni mashambuli kwa kuhusisha ofisi hiyo na kazi cha chama cha siasa. Watanzania...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Profesa Anna Tibaijuka akizungumza kupitia Wasafi TV, Januari 24, 2025 alisema, "Tumefikia mahali ambapo Mtu ukiwa mwadilifu, ku-survive ni ngumu ni ngumu sana, mizengwe itatafuta tu"
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima akiongoza watumishi wa Tume kuondoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
647 Views
Rais mstaafu mzee Kikwete amempongeza Rais Samia kwa kukamilisha miradi mikubwa ya kihistoria iliyoanzishwa na hayati Magufuli Source TBC Mlale unono 🙏
1 Reactions
7 Replies
403 Views
Nimeshangaa kutosikia haya. 1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa. 2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe 3. Serikali kuhakikisha utawala...
2 Reactions
11 Replies
589 Views
Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya...
5 Reactions
73 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom