Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele. Video: Mbali TV
1 Reactions
8 Replies
225 Views
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye...
2 Reactions
8 Replies
294 Views
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21). Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”...
27 Reactions
45 Replies
1K Views
Tupeane taarifa kuhusu watia nia wa ubunge waliopitishwa kugombea majimbo kwa tiketi ya CCM baada ya kushinda kura za maoni za wajumbe. Dar es salaam Ubungo - Kitila Mkumbo Kibamba - Angela...
24 Reactions
350 Replies
49K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi imeagiza aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, na Naomi Raymond Kwayu (Fainess Dawson Kiwia)...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha...
3 Reactions
11 Replies
272 Views
Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi. Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na...
4 Reactions
7 Replies
169 Views
Wanabodi, Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au vitokee!. Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa...
6 Reactions
15 Replies
401 Views
Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
Mwabukusi sijakuelewa. Unataka viongozi wasiongelee yaliyotokea Oktoba 29? Au ninyi mumeelewa vipi? Kutoneshana kunatoka wapi? Watu wameuliwa majumbani kwao sababu tu watu wasalie madarakani.
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Bunge la 13, Mkutano wa Pili unaendelea Jijini Dodoma ambapo waheshimiwa wabunge wanaijadili hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Novemba, 2025 wakati akifungua bunge hilo tukufu la 13 tangu Uhuru...
1 Reactions
6 Replies
288 Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema matumizi ya Akili Unde(Ai),ni jambo lisiloepukika kuliweka katika vyanzo na vichochezi vya uhalifu huku akiweka nia ya Serikali Kudhibiti...
1 Reactions
6 Replies
273 Views
20 January 2026 Mahakama Kuu Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=GE4wN4GVeyw Waziri wa zamani kwenye Wizara mbalimbali Geoffrey Idelphonce Mwambe amefungua kesi...
5 Reactions
27 Replies
818 Views
Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan...
0 Reactions
6 Replies
161 Views
Baadhi yetu tumeona taarifa za sherehe ya mchungaji kutunukiwa u-profesa na chuo cha Amerika. Afisa mkuu wa serikali aliyehudhuria ni Profesa Kabudi. alikuwa ana-smile! Ni huyu huyu ambaye...
1 Reactions
0 Replies
117 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…