Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa haraka haraka, kete zilishachezwa kitambo Sana, ndani ya vile vyumba nyeti vya giza tupu na kumwangukia mama!. Kwa urahisi now mama ni mkubwa kuliko cha ma ( mama ndiyo chama!). Kwa wenye...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Mbeya kwa maana ya ramani ya Zamani yaani hadi Mbozi Ndio sababu Watumishi wa Mungu wa mbinguni wengi wanatoka Mbeya mfano Mwalimu Mwakasege, Mtume Mwamposa, Mzee wa Upako Mchungaji Lusekelo...
1 Reactions
6 Replies
502 Views
Nadhani Hoja ya msingi kwa komredi Polepole ni hiyp Nia njema ya huo waya mkubwa ni ipi na Nia ovu inayotekelezwa na hao Wahuni ni ipi Atoe darasa Nawatakia Sabato njema 🙏
4 Reactions
28 Replies
1K Views
ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara. Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi. Mtapigwa kila pembe hadi mchakae...
4 Reactions
9 Replies
641 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa...
13 Reactions
159 Replies
13K Views
Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa...
3 Reactions
5 Replies
777 Views
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana"...
29 Reactions
220 Replies
14K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Ni wazi kwamba haki huinua taifa, mh Tundu Lissu amejitambulisha wazi kwamba yupo tayari kupigania haki. Ameonyesha bila hofu kuwa yupo tayari kutoa uhai wake kwa...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. HII SIYO GALA NI KUGALAGALA Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini...
15 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona. Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko...
21 Reactions
103 Replies
7K Views
Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji...
1 Reactions
4 Replies
438 Views
Ni special number lakini isiyolipiwa TRA Haiko kwenye mfumo rasmi wa number za magari TRA Inapatikana kwa connection Haipewi kwa wasio makada wa mtandao chawa wenye ukwasi na kunguni daraja la...
5 Reactions
4 Replies
670 Views
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo. Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote...
78 Reactions
223 Replies
12K Views
Wakuu! Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa." "Ninakwenda kujiridhisha. Sina...
29 Reactions
260 Replies
18K Views
Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…