Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni?
Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha...
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote...
Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni...
Wakuu!
Nimekuta na hii Video ikimuonyesha mmoja wa walinzi walioambatana na Rais Samia ameanguka ghafla wakati Rais anawasili kwenye mkutano wa kampeni Mbalizi mkoani Mbeya asubuhi ya leo.
Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano
"Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
Kwa sababu tumewekeza heavily kwenye kulalamika basi hakuna kitu kitakacho badilika katika hii nchi na hakuna mageuzi yalio wahi letwa kupitua kulalamika, labda ianzuea Tanzania na wengine waje...
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya...
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na...
Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti...
Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??.
Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
Nawaza tu kwa sauti
Ofisi za Jf zimevamiwa je lengo lao ni nini? Na je wataishia apo au wataendelea
Mfano ukatokea msako maofisini au kwenye kambi n.k zinakusanywa simu zote gafla bila kutarajia...
Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu.
Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau...
Moja kwa moja.
Mimi ni muumini wa ushahidi, habari zozote bila ushahidi wa uhakika na wa kuamika huwa nazikataa moja kwa Moja au naiweka katika kundi la tetesi na kuzifanyia uchunguzi ili kujua...
Ndugu zangu Watanzania,
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa…
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli Rais Samia anakubalika na kupendwa sana kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu na wagombea wote wa Urais kuwahi kupeperusha Bendera za vyama vyao. Ni...
Mimi nashangaa na kujiuliza sana.
Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii?
Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu...
Wapendwa Great Thinkers.
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana. Nimewawekea taarifa ya video hapa ili mpate taarifa kamili.
===================
Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza...