Kwanini isipigwe pasi mkuu wangu, Angalia watu utafhani SISIMIZIAcha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.
😁😁😁😂😂😂😂😁😂😂😂😂😂😂😁😂😂😂😂😂😂😂Acha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.
SanaNi Tanzania pekee ndiyo rais anaji-selfie.
Mkuu stress sio nzuriNi Tanzania pekee ndiyo rais anaji-selfie.
Hahahaha aAcha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.
Mwaka huu hakuna uchaguzi...View attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
Hii inaitwa nakheri lawama kuliko fedheha. Hata Simba walifanya hii tr 08/03/2025.View attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
😂😂😂😂😂Nyie watu mtatutia matatizoni hii nchi ina maigizo sanaNi Tanzania pekee ndiyo rais anaji-selfie.