Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sote ni mashuhuda kwamba, katika kampeni za chaguzi mbalimbali zilizopita, ilizoeleka kuskia kampeni za matusi, fujo, vurugu, migomo, kususa na maandamano haramu ya ghasia yenye lengo la kuvuruga...
1 Reactions
20 Replies
704 Views
Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%. Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Kwa heshima kubwa naomba kutoa hoja. Nikiwa mwananchi na mdau wa demokrasia nimekuwa nikifuatilia kampeni za Wagombea wa Vyama mbalimbali, nina wasiwasi mkubwa kuona kwenye mikutano ya kampeni za...
0 Reactions
9 Replies
373 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa...
1 Reactions
14 Replies
953 Views
Wakuu, Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari? Alitajwa...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
"Wanataka kumuondoa lakini sababu hawana na ukisemanao wapinzani pembeni wanasema lakini nyie wakubwa, mmefanya mambo mengi. Nilikua mjumbe wa kamati iliyoandika ilani mpya ya mwaka 2025-2030...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10...
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Udhaifu wa vyama vya upinzani nchini unatutisha CCM wajibu mkubwa sana wa kuwa kiongozi na mhimili mkubwa na wa pekee wa umoja, maendeleo na ustawi wa Watanzania wote, hata wale ambao siyo...
2 Reactions
6 Replies
372 Views
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia...
13 Reactions
141 Replies
12K Views
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Mpigania Uhuru, Haki na Demokrasia Nchini Tanzania, ambaye idadi ya kukamatwa kwake na Polisi haihesabiki, Mdude Nyagali ameonekana Ikungi Mkoani Singida wakati wa Mapokezi Makubwa ya Mwenyekiti...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe...
-1 Reactions
3 Replies
389 Views
TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nkπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro...
2 Reactions
6 Replies
738 Views
Kushindana mwenyewe kwanza inakuondolea kujiamini, unakuwa huelewi hata unachofanya kwa sababu hauna reference point yoyote. Hata ukisema "Mikutano tunajaza sanaaa", kuna ka sauti katakuuliza "In...
4 Reactions
12 Replies
600 Views
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya...
64 Reactions
229 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…