Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,252
- 9,311
"Wanataka kumuondoa lakini sababu hawana na ukisemanao wapinzani pembeni wanasema lakini nyie wakubwa, mmefanya mambo mengi. Nilikua mjumbe wa kamati iliyoandika ilani mpya ya mwaka 2025-2030 akanipigia kiongozi mmoja wa chama cha upinzani akasema nimeisoma ilani yenu mmeandika kila kitu sasa sisi tutaandika nini?"
Hayo yamezungumzwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Stephen Wasira wakati akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan
Hayo yamezungumzwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Stephen Wasira wakati akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan