Ukitaka kumtoa nyoka pangoni wewe mwaga petroli tu au mafuta ya taa. Hata awe mkubwa kiasi gani lazima atatoka tu.
Mmoja kati ya watu wanaoonja shubiri za Mdunguaji kutokea mafichoni ni chips...
Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata...
Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM...
Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa...
Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama...
Chama cha TANU ni chama kilichosaidia sana katika harakati za kuikomboa nchi yetu katika makucha ya ukoloni chini ya Uongozi madhubuti wa Hayati Julius K. Nyerere.
Malengo makubwa ya chama hiki...
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.
Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha...
Ukarabati wa MV Tanga Kuimarisha Huduma za Usafiri Baharini kwa Wananchi.
Akiongea na wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
==
Akiongea na wanahabari, Katika Sekta ya Huduma ya Maji Mijini na Vijijini, jumla ya Tshs bilioni 184.8 zimetolewa kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, ambapo...
Katika Nzengo yetu hususani kule juu wamo wateule wengi ambao wanaumizwa na hali ya mambo ilivyo sasa kwenye Kampuni ya walima.mboga mboga na kwenye Nzengo kwa ujumla.
Wamo wengi wanaounga...
Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka.
Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani...
Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya.
Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa...
Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na...
Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani.
Awali liliwekwa Tangazo hili hapa
Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi?
Majibu anayo...
Kasumulu Mbeya
Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi.
Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara...
Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo...
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zinazoendelea nchini kwa sasa, vyama mbalimbali vya siasa vimekuwa vikiwasilisha sera zitokanazo na Ilani zao kwa umma kwa lengo la kuomba ridhaa ya...